Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Kila siku nakushauri uache pombe hunisikilizi, ona sasa unakosa 'nke' hivi hivi....Aisee hizi balimi ndo zishanikosesha ubavu wangu, bibie nipe angalau mwaka 1 basi nifanye mazoezi ya kuacha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila siku nakushauri uache pombe hunisikilizi, ona sasa unakosa 'nke' hivi hivi....Aisee hizi balimi ndo zishanikosesha ubavu wangu, bibie nipe angalau mwaka 1 basi nifanye mazoezi ya kuacha.
Hahaha mimi mbona hayo mvitu situmii kabisa, nakumbuka kilevi cha mwisho kutumia ilikua Mirind@ Nyeusi[emoji40]Natafuta ila asiwe mnywa balimi na bombadia kama wewe [emoji12] [emoji12]
Duh! Hii kiboko....kwamba no pombe no mapenzi motomotoNaona x wako mliachana kwa ulevi wake,.. si ndiyo? basi siyo walevi wote ni wabaya mi hata kama sina hela ya kulewea mke wangu ananipa nikalewe maana nikiwa high huwa nampenda na nakuwa romantic kwake sana. bila kulewa hata kuongea ndani ya nyumba inakuwa shida basi anakuwa bored mpaka anadhamini nikapige mbili na nyagi ndogo basi nikishakunywa niambie hiyo spidi ninayomrudia sasa, utaipenda
Aisee wengine bila pombe hatuwi romantic kabisa ujue, hicho kigezo angekiangalia kwa jicho kuu la pembeni[emoji6]Kila siku nakushauri uache pombe hunisikilizi, ona sasa unakosa 'nke' hivi hivi....
Kwa hiyo na wewe unakuwa romantic kwa msaada wa pombe?Aisee wengine bila pombe hatuwi romantic kabisa ujue, hicho kigezo angekiangalia kwa jicho kuu la pembeni[emoji6]
Acha kabisa unakua zaidi ya romantic hasa ukipata miksicha ya balimi na visichana viwili, alafu nimegundua pia hua natoa zawadi kwa kasi sana nikiwa high. Ndo maana napambana atoe hicho kigezo.Kwa hiyo na wewe unakuwa romantic kwa msaada wa pombe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ama kweli pombe si chai ila ni hitaji muhimu. Mwakani itabidi unipe hili darasa la kuwa romantic baada ya kunywa pombe [emoji12] [emoji12]
Bila shaka hivyo visichana ndo vinakufanya uwe romantic, usiwe unavinywa.Acha kabisa unakua zaidi ya romantic hasa ukipata miksicha ya balimi na visichana viwili, alafu nimegundua pia hua natoa zawadi kwa kasi sana nikiwa high. Ndo maana napambana atoe hicho kigezo.
Mi nipo tayali watoto c tatizo, pombe wala sigara situmii. Je utakubali kuwa mke wa pili?Habari wana JF,
Natafuta mume aliye tayari kuwa nami katika hali zote, mimi nina umri wa miaka 34, mwalimu wa shule moja ya sec mjini Mwanza.
Nilibahatika kuolewa lakini bahati mbaya nilitendwa vibaya na nikaamua kuachia ngazi, nina watoto wawili wa kike na ni mkristo.
Mume nimtakaye awe na sifa zifuatazo awe na miaka 36+, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo, asiwe mnywa pombe wala mvuta sigara, ajue thamani ya mke na awe tayari kulea watoto wangu.
Mwenye uhitaji kama wangu karibu PM tuyajenge, astalavista..
Aisee sawa bhana, ila ajue anapishana na mume bora na aliye romantic kuliko wote duniani (akiwa amepata angalau balimi kadhaa)[emoji125] [emoji125]Bila shaka hivyo visichana ndo vinakufanya uwe romantic, usiwe unavinywa.
Hapo we kaa tu pembeni na mleta mada maana naona mmoja ni mpanda ngazi na mwingine ni mshuka ngazi hivyo hamuwezi kushikana mikono.
HahahahSijawahi kuoa timu zinaanza kucheza mechi halafu timu moja tayari inaongoza 2-0
Hakyanani umeua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Salama, mimi nafikiri ndo mungu amekushushia njoo tulee watoto mimi ninao watano
OkHabari wana JF,