Mume anahitajika 36+

Duh! Hii kiboko....kwamba no pombe no mapenzi motomoto
 
Aisee wengine bila pombe hatuwi romantic kabisa ujue, hicho kigezo angekiangalia kwa jicho kuu la pembeni[emoji6]
Kwa hiyo na wewe unakuwa romantic kwa msaada wa pombe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ama kweli pombe si chai ila ni hitaji muhimu. Mwakani itabidi unipe hili darasa la kuwa romantic baada ya kunywa pombe [emoji12] [emoji12]
 
Acha kabisa unakua zaidi ya romantic hasa ukipata miksicha ya balimi na visichana viwili, alafu nimegundua pia hua natoa zawadi kwa kasi sana nikiwa high. Ndo maana napambana atoe hicho kigezo.
 
Watoto wengi ukiongeza Na wangu c tutashindwa kulipa ada
 
Acha kabisa unakua zaidi ya romantic hasa ukipata miksicha ya balimi na visichana viwili, alafu nimegundua pia hua natoa zawadi kwa kasi sana nikiwa high. Ndo maana napambana atoe hicho kigezo.
Bila shaka hivyo visichana ndo vinakufanya uwe romantic, usiwe unavinywa.
Hapo we kaa tu pembeni na mleta mada maana naona mmoja ni mpanda ngazi na mwingine ni mshuka ngazi hivyo hamuwezi kushikana mikono.
 
Mi nipo tayali watoto c tatizo, pombe wala sigara situmii. Je utakubali kuwa mke wa pili?
 
Bila shaka hivyo visichana ndo vinakufanya uwe romantic, usiwe unavinywa.
Hapo we kaa tu pembeni na mleta mada maana naona mmoja ni mpanda ngazi na mwingine ni mshuka ngazi hivyo hamuwezi kushikana mikono.
Aisee sawa bhana, ila ajue anapishana na mume bora na aliye romantic kuliko wote duniani (akiwa amepata angalau balimi kadhaa)[emoji125] [emoji125]
 
Umeachwa kwa tabia zako mbaya

Nasikia mnaongoza kwenda kwa waganga
 
Mimi sifa ninazo ila nami ninao watoto 2 wa kike na kiume km upo tyr kulea wanangu njoo tuyajenge...
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…