Mume anahitajika 36+

Umesomeka vizuri mamii, shida ni hao watoto. Baba yao hupo hai au kafariki? Maana mimi naweza kuingia gharama kuwatunza na kuwasomesha mwisho wa siku baba yao anakuja nakusema anataka watoto wake.Be honest, mlifunga ndoa au mlizaa nae tu? Hua mnawasiliana au hata mawasiliano hayapo kabisa? Mimi sina mtoto wala sijawahi kuoa. Nakaa DAR nafanya kazi.kama itakupendeza nipe namba ya simu kwa mawasiliano na taarifa zaidi.
 
Karibi PM nitakujibu
 
Me ninakunywa Sana pombe ila Nina helaaaaaaa!
 
Et awe tayar kulea watoto wangu,we si unajua siku hzi hatutoi sadaka kwenye msikiti/kanisa ambalo huswali
 
Inaonekana wanywa pombe wengi sana ehhh, na wanapata shida mno, ouk, dada umeweka uzi wako, nimeupenda sana, nina uhakika kuna siku utarudi humu na kushukur kwamba umepata mume Jf, kama ni Mkristo mwwnye imani, nina uhakika kilio chako kakisikia Mungu, na atajibu, ila majibu ya Mungu anaweza akakupa nje na hayo uliyomention, kaa kujiandaa ktk hilo, Mungu anasema tunayowaza sisi, yeye anakuwa tofauti na mawazo yetu, anaweza kukuletea hata mvuta bangi lkn akaifaa sana familia hyo,ningekuwa sijaoa ningekutafuta, japo mm 32 but umri sio kitu kwangu, kilichonivutia sana ni hao watoto wawili Wadada, hapo ndo nazimia kabisa, napenda sana watoto hasa wa kike, kwahyo ningekupendea kupitia watoto wako.
Nashangaa wanaokimbia kulea watoto, hao ni baraka sana ktk maisha. Mungu akutafutue wa haja yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…