Mume anahitajika 36+

Uko mwanza sehemu gani nikutafute. Nina mtoto mmoja na sifa ulizotaja ninazo zote na za ziada. Nilimwacha x wangu maana alikuwa muongo, mbea na mlevi sana hasa akienda kwenye sherehe. Karibu
Karibu inbobo
 
Niko Dada ,,Nina 40 Nina watoto wawili mmoja yuko form 6 mwingine 4,,sinywi pombe na sivuti sigara pia ni mkristo WA tAG
 
pm yako mpaka sasa imeshajaa kama uko siries nakukaribisha pm tuyapange
 
Yaani timu zinaingia tu uwanjani kabla filimbi ya kuanza mchezo haijapulizwa tayari timu Moja inaongoza magoli mawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…