Mume anahitajika 36+

Mume anahitajika 36+

Habari wana JF,

Natafuta mume aliye tayari kuwa nami katika hali zote, mimi nina umri wa miaka 34, mwalimu wa shule moja ya sec mjini Mwanza.

Nilibahatika kuolewa lakini bahati mbaya nilitendwa vibaya na nikaamua kuachia ngazi, nina watoto wawili wa kike na ni mkristo.

Mume nimtakaye awe na sifa zifuatazo awe na miaka 36+, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo, asiwe mnywa pombe wala mvuta sigara, ajue thamani ya mke na awe tayari kulea watoto wangu.

Mwenye uhitaji kama wangu karibu PM tuyajenge, astalavista..
Nitafute 0754363750 au 0784501278
 
Desemba hii natimiza miaka 35 na miezi 10, sio bahati na fungu langu, ila ulikuwa umepata zali kubwa kabisa usingejutia
 
Mimi nina watoto watano wewe uko tayari kulea watoto wangu?
 
Habari wana JF,

Natafuta mume aliye tayari kuwa nami katika hali zote, mimi nina umri wa miaka 34, mwalimu wa shule moja ya sec mjini Mwanza.

Nilibahatika kuolewa lakini bahati mbaya nilitendwa vibaya na nikaamua kuachia ngazi, nina watoto wawili wa kike na ni mkristo.

Mume nimtakaye awe na sifa zifuatazo awe na miaka 36+, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo, asiwe mnywa pombe wala mvuta sigara, ajue thamani ya mke na awe tayari kulea watoto wangu.

Mwenye uhitaji kama wangu karibu PM tuyajenge, astalavista..
Kwa jinsi ulivyomalizia hiyo meseji yako napenda kuelezea kwa kina jinsi nilivyovunjika moyo na kukata tamaa na hamu kuniisha ya kuwa mke wangu.
 
Unaposema mkristu umekosea, sema imani yoyote ili mradi maisha yaende. Baki na imani yako nae abaki na imani yake
 
Hehehehehe hapo kwny malezi ndio ugumu unapoanza.

Mtu hana hata mtt anaoa tu tayari anakuwa nao wawili wakubwa
Ha ha yataka moyo ukifanya hivyo nina uhakika ni robo tatu ya u pastor au shekhe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Orodhesha idada ya waliokuja PM wote watoto ni wa huyo baba ambaye ni mume wako maake hakuna mahalauliposema kuwa mlipeana talaka.
 
Hehehehehe hapo kwny malezi ndio ugumu unapoanza.

Mtu hana hata mtt anaoa tu tayari anakuwa nao wawili wakubwa

Hii ni sawa sawa na mechi ya mpira inaanza huku umeisha pigwa aggregate ya mbili bila.
 
Back
Top Bottom