IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
....Kwa hiyo jamaa mlivyoachana kagoma hata kulea watoto wake?Sipatani na pombe baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....Kwa hiyo jamaa mlivyoachana kagoma hata kulea watoto wake?Sipatani na pombe baba
picha nikuoneHabari wana JF,
Natafuta mume aliye tayari kuwa nami katika hali zote, mimi nina umri wa miaka 34, mwalimu wa shule moja ya sec mjini Mwanza.
Nilibahatika kuolewa lakini bahati mbaya nilitendwa vibaya na nikaamua kuachia ngazi, nina watoto wawili wa kike na ni mkristo.
Mume nimtakaye awe na sifa zifuatazo awe na miaka 36+, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo, asiwe mnywa pombe wala mvuta sigara, ajue thamani ya mke na awe tayari kulea watoto wangu.
Mwenye uhitaji kama wangu karibu PM tuyajenge, astalavista..
Mkuu hiyo avatar ndo wewe? HongeraWewe tabia za kike za kujua thamani ya mume au unataka mume ajue thamani yako alafu.wewe usijue thamani ya mume
Ingalikuwa vema kama ingekuwa hapa hapaNjoo pm ntakujuza
Tushakosa mke [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nna sifa zote tatzo ni moja tu,,Mi makula bhange na kulipuliza
Na pombe, na muislamu, na usiyependa lea wa wenzio..Na inabidi uwe Mwanza..duh kazi ipo..Wavuta sigara tushakosa mke [emoji23][emoji23][emoji23]
Maskini... dah..!Waliokuja pm wakahitaji kujua hilo wana majibu ya maswali yote dear
Wewe kama ni mnada basi nyumba za Lugumu, hakuna mteja.Habari wana JF,
Natafuta mume aliye tayari kuwa nami katika hali zote, mimi nina umri wa miaka 34, mwalimu wa shule moja ya sec mjini Mwanza.
Nilibahatika kuolewa lakini bahati mbaya nilitendwa vibaya na nikaamua kuachia ngazi, nina watoto wawili wa kike na ni mkristo.
Mume nimtakaye awe na sifa zifuatazo awe na miaka 36+, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo, asiwe mnywa pombe wala mvuta sigara, ajue thamani ya mke na awe tayari kulea watoto wangu.
Mwenye uhitaji kama wangu karibu PM tuyajenge, astalavista..
Fursa hiyo changamkiaHehehehehe hapo kwny malezi ndio ugumu unapoanza.
Mtu hana hata mtt anaoa tu tayari anakuwa nao wawili wakubwa
Hakuna fursa hapo, hiyo ni liability.Fursa hiyo changamkia
Sio kweli,mbona wengi tu wenye watoto wanaolewa? Na wanaishi vzr tu. Am sure atapata hitaji la moyo wake!Hakuna fursa hapo, hiyo ni liability.