Mume anahitajika 36+

Asante dear
 
Ungemvumilia tu mwenzio maana mapungufu ni ya wanadam. Chamsingi ni kukomaa tu na hali yako. Maana hata huyo unayemtafuta anaweza akafanya cha juu zaidi ya huyo uliye mwacha. ILA kama huwezi kuvumilia basi ni bora uishi peke yako tu. Ushauri tu.
 
Nyie si Hua mna ndoa moja unataka mume gani tena na mtafunga ndoa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…