Mume anahitajika 36+

Mume anahitajika 36+

Hii Astaravista, inaonyesha jinsia yako sio Ke ! [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Mtazamo wako huo,,sina neno
 
Wasiliana na WCB wao wana uzoefu na wanawake wa umri huo
 
Miaka mi3,,
Hayaah kitu ishakuwa mpya tena kama haijatolewa seal. Au muda huo wa 3yrs imetumika tumika kidogo mechi za mchangani?
Hapo watoto sijali itakuwa kama naoa bikra.
 
Habari wana JF,

Natafuta mume aliye tayari kuwa nami katika hali zote, mimi nina umri wa miaka 34, mwalimu wa shule moja ya sec mjini Mwanza.

Nilibahatika kuolewa lakini bahati mbaya nilitendwa vibaya na nikaamua kuachia ngazi, nina watoto wawili wa kike na ni mkristo.

Mume nimtakaye awe na sifa zifuatazo awe na miaka 36+, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo, asiwe mnywa pombe wala mvuta sigara, ajue thamani ya mke na awe tayari kulea watoto wangu.

Mwenye uhitaji kama wangu karibu PM tuyajenge, astalavista..
Ka picha kangesaidia zaidi
 
SABABU ZA KUTENDWA VIBAYA....ELEZEA PENGINE ANAEKUJA NAE HAYATAKI ULIONAYO AKAKUTENDA ZAIDI....

JIMWAGE MAMA TAJA CV ZAKO ZAIDI....
UNATUMIKAJE UKIWA KWENYE 6*6 0UNAJITUMA KWELI AMA LAH...

HUTAKI MUME MVIVU PIA 6*6 NAONGEZA HAYA SABABU NAJUA NDOA NYINGI ZIKIACHANA VYANZO VIKUU N HIVYO UKIHITAJI ZAIDI..NI INBOX MUNGU AKUTIE NGUVU..WAWEKE WAZI BIASHARA YA KUALALA KAKA NA DADA HAIMO

UNALEWA UNARUDI NYUMBANI UMECHKKA WAAMBIE WAKALALAE KWA WAZAZI WAO KWAKO N KAZI TU.
 
Mmmmhhh,, asante kwa mtazamo wako,,atakaefanikiwa atajua kila kitu
 
Back
Top Bottom