Asante kwa kujibu, dada ameshanipa hii account niendelee nayoUnajifanya mshenga na nyie ndio huwa wa kwanza kuharibu ndoa hii.mwache aje mwenyewe nyie madalali wa mapenzi huwa mnataka kuendelea kutawala mahausiano na hii ni dalilili mbaya kwa huyo kwanza kwani ataendelea kukutegemea wewe kwa ushauri na kumchagulia au kumwamulia mambo!! Mwache tukutane naye sitak dalali au mshenga.
Sawa tupo pamojaAsante kwa kujibu, dada ameshanipa hii account niendelee nayo
Siku hizi suala la kuoa limekuwa kama ajira.Nilishakujaga hapa kipindi cha mwaka 2017 na namshukuru Mungu alinipa mume mwema.
Nina binamu yangu anahitaji mume au mwanaume ambaye watakubaliana kupata mtoto/watoto ila wote watakuwa na jukumu la kuwalea wote hata kama hawataishi pamoja kama upo serious naomba unijie inbox.
Yeye anaumri 38-42 ni Mkristo, hana mtoto. Nakuomba tu kama unaona haikuhusu usicoment kumtolea kashfa au kumdhihaki.
acha mikwara yaan hapa tutakashif na kuDHIHAKI kama ilivyo ada.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nilishakujaga hapa kipindi cha mwaka 2017 na namshukuru Mungu alinipa mume mwema.
Nina binamu yangu anahitaji mume au mwanaume ambaye watakubaliana kupata mtoto/watoto ila wote watakuwa na jukumu la kuwalea wote hata kama hawataishi pamoja kama upo serious naomba unijie inbox.
Yeye anaumri 38-42 ni Mkristo, hana mtoto. Nakuomba tu kama unaona haikuhusu usicoment kumtolea kashfa au kumdhihaki.
Yaani kakosa wa kumpa mimba kitaa?Nilishakujaga hapa kipindi cha mwaka 2017 na namshukuru Mungu alinipa mume mwema.