Mume anahitajika umri 38-50

Mume anahitajika umri 38-50

jena

Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
17
Reaction score
21
Nilishakujaga hapa kipindi cha mwaka 2017 na namshukuru Mungu alinipa mume mwema.

Nina binamu yangu anahitaji mume au mwanaume ambaye watakubaliana kupata mtoto/watoto ila wote watakuwa na jukumu la kuwalea wote hata kama hawataishi pamoja kama upo serious naomba unijie inbox.
Yeye anaumri 38-42 ni Mkristo, hana mtoto. Nakuomba tu kama unaona haikuhusu usicoment kumtolea kashfa au kumdhihaki.
 
Unajifanya mshenga na nyie ndio huwa wa kwanza kuharibu ndoa hii.mwache aje mwenyewe nyie madalali wa mapenzi huwa mnataka kuendelea kutawala mahausiano na hii ni dalilili mbaya kwa huyo kwanza kwani ataendelea kukutegemea wewe kwa ushauri na kumchagulia au kumwamulia mambo!! Mwache tukutane naye sitak dalali au mshenga.
 
Asante kwa kujibu, dada ameshanipa hii account niendelee nayo
 
Nilishakujaga hapa kipindi cha mwaka 2017 na namshukuru Mungu alinipa mume mwema.

Nina binamu yangu anahitaji mume au mwanaume ambaye watakubaliana kupata mtoto/watoto ila wote watakuwa na jukumu la kuwalea wote hata kama hawataishi pamoja kama upo serious naomba unijie inbox.
Yeye anaumri 38-42 ni Mkristo, hana mtoto. Nakuomba tu kama unaona haikuhusu usicoment kumtolea kashfa au kumdhihaki.
Siku hizi suala la kuoa limekuwa kama ajira.
Watu wanatafutiana tu wenza.
 
Nilishakujaga hapa kipindi cha mwaka 2017 na namshukuru Mungu alinipa mume mwema.

Nina binamu yangu anahitaji mume au mwanaume ambaye watakubaliana kupata mtoto/watoto ila wote watakuwa na jukumu la kuwalea wote hata kama hawataishi pamoja kama upo serious naomba unijie inbox.
Yeye anaumri 38-42 ni Mkristo, hana mtoto. Nakuomba tu kama unaona haikuhusu usicoment kumtolea kashfa au kumdhihaki.
acha mikwara yaan hapa tutakashif na kuDHIHAKI kama ilivyo ada.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
just joking!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishakujaga hapa kipindi cha mwaka 2017 na namshukuru Mungu alinipa mume mwema.

Nina binamu yangu anahitaji mume au mwanaume ambaye watakubaliana kupata mtoto/watoto ila wote watakuwa na jukumu la kuwalea wote hata kama hawataishi pamoja kama upo serious naomba unijie inbox.
Yeye anaumri 38-42 ni Mkristo, hana mtoto. Nakuomba tu kama unaona haikuhusu usicoment kumtolea kashfa au kumdhihaki.
Yaani kakosa wa kumpa mimba kitaa?
Mume unaweza kukosa ila masperm donor nao ukose.? Naona ni very risk kuzaa na stranger.kama Ni mtu wa kuzaa TU mwambie amkwapue hata mume wa ndugu yake watoto Ni kitu sensitive sana sio unazaa na limtu hata watoto wanakuja kukushangaa hivi maza huyu baba vepee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom