Mume anahitajika

martft UMESOMA KWELI WEWE?

ASILA=HASIRA
ASIRA=HASIRA
USIWALOGE=USIWAROGE
AJANICHOKA=HAJANICHOKA
NAITAJI=NAHITAJI
 
Mimi na miaka 32 ni mthamini na sina mtoto wala mke. Nije pm
 
Usijari umepataa ninasifa hizo kasoro kazi nitakuelezaa tukikutana
 
Mume hapatikani kinamna hiyo, kama unasubiri ndoa kinamna hiyo. Utazeeka single, yaani uko ulipo ukose mume hadi uje mtandaoni.

Jitathmini kwanza kuna tatizo gani hadi ukafikia wakukwepe, sidhani huko mtaani hakuna mwanaume. Tatizo lipo kwako
una mawazo ya 1700 kaoge
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ngoja nikushike mkono nikupelekee chumbani kwake mkaelewane huko.
Alafu kuna kitu kimenikaba nataka kusema hapa ila haparuhusu, baadaye usisahau kuja kilingeni kuna kesi yako.[emoji40]
 
Awe mkristo awe na kazi halali kwa Mungu na jamii awe na akili timamu, awe mwelewa ugomvi sipendi, awe na umri kati ya miaka 32-38
Mimi ni mkristo ni mrefu umbo la kawaida na ni mweusi.
Waume za watu sitaki, na ukinijaribu sitakujibu
Mi Nina 40, huwezi kunifikiria?
 
martft UMESOMA KWELI WEWE?

ASILA=HASIRA
ASIRA=HASIRA
USIWALOGE=USIWAROGE
AJANICHOKA=HAJANICHOKA
NAITAJI=NAHITAJI
Mkuu, hilo swali halitajibiwa maana yale majibu yaliyotolewa tayari yanatoa picha kuwa yukoje na kwanini anatumia njia anayoitumia kutafuta mtu wa kumwoa!
 
mi

afya yangu ni njema ila akitaka tupime sio shida na kama ye ni HIV + pia sio tatizo kikubwa upendo kwani kuna washauri wa jinsi ya kuishi na kupata watoto salama mi naitaji tu upendo wake
Duuh! Umri umekuacha kinoma mpk umechanganyikiwa yaani. Upo tayari hata mwenye ngoma ili mradi awe na upendo! ? Hadi umri huo hujawahi kupendwa?? Na menopause ndiyo hiyo inapiga hodi. Pole sana.
 
Umri wako bado niwakulamba ice-cream za Mia Mia
 
Sidhani kama kuna reason ya kuja kwenye social network na kutafuta husband , labda kama umechelewa sanaaaa. Pia unaweza tafuta kijana/mwanaume huko uliko na uka create conducive Environment ya kumwa tract akakupenda na mkayajenga maana upendo uambukizwa & kufundishika... Ila huku kwenye social media utakwazika tu dada yangu.
 
Kuandika kwenyewe hajui huyo mume atamuweza kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…