Mume anahitajika

Mume anahitajika

Nyumba kumi

Member
Joined
Jan 25, 2018
Posts
23
Reaction score
10
Natamani kumpata mume Mwenye hofu ya Mungu akiwa mkathoric itapendeza umri wangu ni miaka 28 Nina watoto wawili single mom anipende na watoto wangu awe baba awe mtafutaji ambaye yuko interested aje in bobo
 
Huko unako kaa umekosa?
 
Hongera kwa kujaaliwa watoto.
Swali langu je wote ni wa baba mmoja au tofauti?
 
Watoto unao sasa unataka mume aje kufanyeje? Unakaribisha matatizo tu we tafta limdori la dushe basi
 
Hofu ya Mungu ninayo.

Natafuta pia

Bado kigezo cha umri, urefu na rangi
 
Natamani kumpata mume Mwenye hofu ya Mungu akiwa mkathoric itapendeza umri wangu ni miaka 28 Nina watoto wawili single mom anipende na watoto wangu awe baba awe mtafutaji ambaye yuko interested aje in bobo
Wababa wa hao watoto hawakuona umuhimu wa kukuoa?

Hao watoto watakuwa wanamwitaje mmeo wa mtandaoni?
 
Hapana, nae anastahiri umri una mruhusu kuwa na mweza. Am sure utapata
 
Natamani kumpata mume Mwenye hofu ya Mungu akiwa mkathoric itapendeza umri wangu ni miaka 28 Nina watoto wawili single mom anipende na watoto wangu awe baba awe mtafutaji ambaye yuko interested aje in bobo
Kama unatamani sawa ... endelea kutamani ...
Bora ungekuwa unapenda ....
Ila kuwa na imani ...
Umri wangu ni mkubwa ... 32 yrs naweza au
 
WEWE UNGEKUWA NA HOFU YA MUNGU USINGEZALISHWA NJE YA NDOA TENA WATOTO WAWILI?

YANI WE MWENYEWE SHETANI, HALAFU UNATAKA MALAIKA?
 
Back
Top Bottom