Mume anahitajika

Mume anahitajika

Hakuna kitu mbaya kama kuingia kwenye kiota cha mwenzio. Dadangu hatujui huyo alokukimbia alikimbia kwa sababu gani. Maana mpaka umezaa naye watoto 2, basi hakika ulikuwa umeolewa.na kama ulikuwa hujaolewa kwa umri wako kuwa na watoto 2 bila ndoa basi ni dhahiri hujatulia. Hivyo ndoa kwako haifai sababu utaachika mda mfupi sana ujao. Pia watoto wawili ni wengi sana kumrundikia mzigo wa kulea mwanaume atakayekuoa. Hata kama hutaishi nao kwa mumeo ila watahitaji support yako, hivyo utalazimika kuwahudumia either kwa kuelewana na mumeo au kwa kumwibia mumeo. So tafuta kazi ufanye acha kabisa kuwaza ndoa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom