milioni milioni
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,845
- 1,063
sijui nimeshaichelewa hii nafasi??Mimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume.
Nahitaji mtu ambaye yupo serious na maisha.
Ila mimi nampenda mwanaume ambaye anajua anachotaka.
Ajiheshimu sijali umri najali kujua yeye anataka nini.
Mwanaume mwenye mvuto ajue kubembeleza ajichukue kiasi fulani.
Asiependa shida asiwe anaringaringa.
Awe na kazi .
Awe mkristo.
Wasifu wangu mimi ni mzuri najitambua.
Ninakazi
Najua kujali
Ila sihongi.
Nipo serious sana.
Tena uweze kuwatayari kuja huku nilipo.
Please not this even if you want a second wife.
I will be the one.(joking)
But people seriouly i need a man in my life jamani mwenye mvuto. Sio muislamu.
Umefika hadi huku?!Hivi nyie mpo serious hamtanii?
Nakuja pm dadakeMimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume.

Ungekuwa Muislam, ningekuwa mumeo haraka sana ..Mimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume.