Mume anahitajika

Mume anahitajika

Nenda kanisani ukatafute, muislam anafundishwa kwamba yeye ndio kichwa cha familia na yeye ndie anaepanga ataishi wapi na familia. Muislam humuwezi wewe maana nguvu zake tu za machine anaweza kumiliki wake wanne bila tatizo.
 
Nilichogundua tabia yako ndo inakufanya huteseke ivi.pole sana, hebu jisitili maneno yako then utaona mabadiliko
 
Iwekwe sheria humu wote wanaoleta nyuzi za kitafuta wake waume waweke na picha zao,ikishindikana walau passport saizi.
 
Mimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume.
Nahitaji mtu ambaye yupo serious na maisha.
Ila mimi nampenda mwanaume ambaye anajua anachotaka.
Ajiheshimu sijali umri najali kujua yeye anataka nini.
Mwanaume mwenye mvuto ajue kubembeleza ajichukue kiasi fulani.
Asiependa shida asiwe anaringaringa.
Awe na kazi .
Awe mkristo.

Wasifu wangu mimi ni mzuri najitambua.
Ninakazi
Najua kujali
Ila sihongi.
Nipo serious sana.
Tena uweze kuwatayari kuja huku nilipo.

Please not this even if you want a second wife.
I will be the one.(joking)

But people seriouly i need a man in my life jamani mwenye mvuto. Sio muislamu.
0621249994 Nicheki if you are seriously
 
Unijibu tena pm sijui ndo umepata basi tupe feedback
 
Hivi mnajua hata kuringa/Nyodo vina mwisho wake, huwezi pata mme wa kukufaa kwa Style hii,
 
Back
Top Bottom