Mume anahitajika

Mume anahitajika

Nanyie mnaotangazaga huku mnataka wanawake wakuwaoa hamuoni huko mitaani kwenu au haisimami au inakuwaje?
Mbona wananipm sasa huku unajuaje sina nataka kuongeza bendii acha maisha ya watu au unajuaje nawachora dah nikikupa simu yangu one day hutafungua huo mdomo mchafu wenye harufu hata upige mswakii usijione kamchizi umefika kwanza sio bure umejijua umechizikandio maana.
 
Mpaka sasa wanaume zawatu ndio nawaongoza sasa uwakubalii tu wengine basi tu.
 
samahani, unaweza kuweka picha yako angalau vijana wazoom vizuri.

akufate huko ulipo wapi? kuwa muwazi isijekuwa ni kuzimu.. haji mtu!
 
Mbona hamjiiii?
Wamekuja ila siwaelewi
Hivi is it possible to get a man like ronaldo or actors of USA.?
BECAUSE I DID NOT SEE MY MATCH ALREADY
YES IT IS EVEN POSSIBLE TO GET RONALDO HIMSELF BUT WITH A COST.
 
Rudi kijiji kwenu umetumika huku hafu uje kwangu nikutumie
 
Mimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume.
Nahitaji mtu ambaye yupo serious na maisha.
Ila mimi nampenda mwanaume ambaye anajua anachotaka.
Ajiheshimu sijali umri najali kujua yeye anataka nini.
Mwanaume mwenye mvuto ajue kubembeleza ajichukue kiasi fulani.
Asiependa shida asiwe anaringaringa.
Awe na kazi .
Awe mkristo.

Wasifu wangu mimi ni mzuri najitambua.
Ninakazi
Najua kujali
Ila sihongi.
Nipo serious sana.
Tena uweze kuwatayari kuja huku nilipo.

Please not this even if you want a second wife.
I will be the one.(joking)

But people seriouly i need a man in my life jamani mwenye mvuto. Sio muislamu.
...
 
Ww

Nenda kwa kanisani utapata huyo mume shubaaaaaamit Muislam hawana shobo na watu dizaini yako......
 
Una Mvuto lakini?
Huyu angenikubalia ningemwonesha mvuto wangu halisi wa sehemu maalumu mpaka angeishukuru Jf kwa kiwango cha lami!!!

Vp Msweet tunaweza kumeet PM tuongee kikubwa? [emoji39]
 
Mimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume.
Nahitaji mtu ambaye yupo serious na maisha.
Ila mimi nampenda mwanaume ambaye anajua anachotaka.
Ajiheshimu sijali umri najali kujua yeye anataka nini.
Mwanaume mwenye mvuto ajue kubembeleza ajichukue kiasi fulani.
Asiependa shida asiwe anaringaringa.
Awe na kazi .
Awe mkristo.

Wasifu wangu mimi ni mzuri najitambua.
Ninakazi
Najua kujali
Ila sihongi.
Nipo serious sana.
Tena uweze kuwatayari kuja huku nilipo.

Please not this even if you want a second wife.
I will be the one.(joking)

But people seriouly i need a man in my life jamani mwenye mvuto. Sio muislamu.
Mvuto kwa mwanaume duu! ngumu kumesa!
 
Samahani dada najua unahitaji mume ambae anafanya kazi(hujasema kazi gani) ila me naomba tu niweke bayani kazi yangu; Mimi kazi yangu ni Kuuza Mapambio ya Marehemu(maua na majeneza) kwa hiyo sijui nipitie DM tuanze kujuana?
hahaaa
 
Mimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume.
Nahitaji mtu ambaye yupo serious na maisha.
Ila mimi nampenda mwanaume ambaye anajua anachotaka.
Ajiheshimu sijali umri najali kujua yeye anataka nini.
Mwanaume mwenye mvuto ajue kubembeleza ajichukue kiasi fulani.
Asiependa shida asiwe anaringaringa.
Awe na kazi .
Awe mkristo.

Wasifu wangu mimi ni mzuri najitambua.
Ninakazi
Najua kujali
Ila sihongi.
Nipo serious sana.
Tena uweze kuwatayari kuja huku nilipo.

Please not this even if you want a second wife.
I will be the one.(joking)

But people seriouly i need a man in my life jamani mwenye mvuto. Sio muislamu.
Na mimi sihongi twende kazi.
 
Back
Top Bottom