kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
utaiona tu..miss yu sana lkn ,naona majukumu ya kulea ndoa si mchezo
Kweli mkuu! Wengine wamepigwa pasi balaa wanakuja tu kujirembesha hapa kumbe chura hamna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utaiona tu..miss yu sana lkn ,naona majukumu ya kulea ndoa si mchezo
Hapana..namtakia kila la kheri, mpaka sasa hivi atakuwa ameshampata nadhani[emoji23] [emoji23]
Mbona kama unamsikitikia
U never know!.Siitaji tenamtu anipm it's useless
NopeWasted of my time
We njo ujambe humu mwone sura mbaya hadi mtoto akikuona anakutania au analia .Kajambe mbele, et unataka ronaldo , pumbavu.
We njo ujambe humu mwone sura mbaya hadi mtoto akikuona anakutania au analia .
Unasura mbaya hadi ukiwa karibu na mtu anashtuka kila mara
Una Mvuto lakini?Chungulia PM nimekuja bi dada tuyajenge!
Naona watakula Mvuto, Watajenga kutumia Mvuto..... Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi.....Una vigezo vigumu, awe na mvuto asipendwe huko mtaani, ofisini, kanisani akusubiri wewe JF?
Ndugu yangu mme wa kweli hatafutwi humu Jf, nakushauri kama kweli upo serious waume wa kweli utawapata kwenye katika nyumba za ibada, kama jinsi wewe ulivyosema ukihitaji mme wa kikristo utampata kanisani, kama wewe ni muumini wa kweli huwezi kumkosa, ila kama unfurahisha makala haya unapoteza muda wako.Mimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume.
Nahitaji mtu ambaye yupo serious na maisha.
Ila mimi nampenda mwanaume ambaye anajua anachotaka.
Ajiheshimu sijali umri najali kujua yeye anataka nini.
Mwanaume mwenye mvuto ajue kubembeleza ajichukue kiasi fulani.
Asiependa shida asiwe anaringaringa.
Awe na kazi .
Awe mkristo.
Wasifu wangu mimi ni mzuri najitambua.
Ninakazi
Najua kujali
Ila sihongi.
Nipo serious sana.
Tena uweze kuwatayari kuja huku nilipo.
Please not this even if you want a second wife.
I will be the one.(joking)
But people seriouly i need a man in my life jamani mwenye mvuto. Sio muislamu.
Hata lady jay dee hana kivile ila alikuwa na wanawanume mahandsome sasa je acha hizo wewe ndio unahitajika uwe handsome ili hata uweze kumvutia mkeo kidudu hakinaga mvuto.Una Mvuto lakini?