Mume anahitajika

Mume anahitajika

Status
Not open for further replies.
Mume hupatikana popote hata sokoni

Sifa zangu ni hizi
1- Hofu ya Mungu
2-Mchaga wa rombo
3- Umri 25-29
4-Sijaajiliwa naungaunga na vbiashara vidogo
5- Sijawahi KUOLEWA.
6- Elimu ninayo ya ualimu
7- Dini: Mkristo mkatoliki
8- Umbo: Mimi sio pisi Kali ,ni size, sio mrefu Wala mfupi ni wa kawaida sio mnene .

Sifa za mume mtarajiwa
1- Amuogope MUNGU afanyapo maovu
2- Akiwa mchaga mwenzangu(hata akiwa nje ya nchi) itapendeza zaidi ila na wengine mnakaribishwa
3- Umri anizidi
4- Awe anajishughulisha na sio kunywa dadii tu
5- Dini tuwe tunaabudu dini moja
6- Umbo sio kigezo kwangu
7 -UKIWA NA SIFA TAJWA PM me
Hello
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom