Mume Anahitajika

Mume Anahitajika

Mume anayepatikana kwa advert kama hizi ni issue! Ina maana uko jela hukutani na watu
 
Mimi ninazo sifa zote. je una watoto/mtoto? sharti langu lazima uwe bikra. kama una hiyo sifa mume umepata.
 
Husney, na ujanja wote huu ulitendwa? Kweli JF noumer... tema hapa nimchape.

hehehe! Nimetendwa. mwenzio ujanja wa maneno tu. Lol.
Halafu umeniambia niteme mate nimetemea kimeo changu, nilifikiri ushakinga mkono.
 
Ni msemo tu, you don't have to spit anything! you are disgusting. lol. but nimependa muda ulio tumia kubandika viraka kwenye roho: just a day. the MTFCKR doesn't deserve more than that (whoever he is)
 
Uskute husny ndio alikuwa heartbreaker wenyewe yaani a day? khaaa
 
Ni msemo tu, you don't have to spit anything! you are disgusting. lol. but nimependa muda ulio tumia kubandika viraka kwenye roho: just a day. the MTFCKR doesn't deserve more than that (whoever he is)

yap, siku moja ilinitosha kumove on. Nichukue miezi kwani hilo limtu mi nimezaliwa nalo. Lol.
 
Back
Top Bottom