Mume anahitajika

Natumaini wote ni wazima nakuja tena mara ya pili kwa ajili ya kupata mwenza wa maisha. ni mama wa mtoto mmoja 8yrs nipo single bado kwa yeyote anipm nina 40yrs.
wanaume tumekuwa deal siku hizi
 
Du bora wewe mm nina 67yrs hatanikubali, na naogopa hajaweka vigezo vya umri Elimu, urefu, umri

Vigezo hapa nafikiri havi hitajiki..angefunguka mapema... MAMA NI PM JAMANI NINA HAMU....:mimba:
 
Omba sana muujiza utendeke. Nakushauri uhudhurie mahubiri ya Mwakasege pale jangwani nasikia jamaa akiomba, miujiza inatendeka, lakini humu JF unapoteza muda wako tu, sana sana utapata watu waiolemewa na tamaa na wataku naniiii!!!!!! na kukuacha solemba. Umri umekwenda huo.
 
mimi nina 29 years nina mtoto m1 kama upo tayar ni call 0688372979
 
Natumaini wote ni wazima nakuja tena mara ya pili kwa ajili ya kupata mwenza wa maisha. ni mama wa mtoto mmoja 8yrs nipo single bado kwa yeyote anipm nina 40yrs.
naomba match kujua kama upo fit 6 kwa 6
 
Wewe ni bikra? Mm natafuta mchumba bikra sijali hata akiwa na watoto wanne.

Sasa Bikra halafu hata akiwa na watoto inawezekanaje??
Au mwenzetu unazungumzia Bikra ipi labda??
 
Natumaini wote ni wazima nakuja tena mara ya pili kwa ajili ya kupata mwenza wa maisha. ni mama wa mtoto mmoja 8yrs nipo single bado kwa yeyote anipm nina 40yrs.

Dinna age is just a number, tuwasiliane
 
Sasa my dada na wifi wa mpenzi wangu yashike haya, wewe ulikosea kwa kuwa na relation na mme wa mtu kiukweli hilo huwa linatoa laana, sasa we acha hawa wa jamvini kwa ishu yako, nenda katafute hela kwa bidiii mbaya uwe na mshiko zen unaanza kwenda viwanja huko mkoa ulipo kutafuta vijana wavivu ambao wanapenda miteremko zen wewe ndio unawachagua na kuwatia mishert migumu na kumuhakikishia tu kula na kuvaa na kumnunulia kiswift chenye jina lako, hapo atakuwa hadi anamuogesha huyo mwanao, hapo wewe na mwanao mtakula mema ya dunia.
 
yupo na tayari ana familia yake tangu mwanzo sipo nae

Sa mbona umechelewa sana nawe kutafuta mume...kuna lolote lililotokea hapo kati tunalopaswa kujua kabla hatujajitosa? By the way...am single with one son, mid 30s!
 
Natumaini wote ni wazima nakuja tena mara ya pili kwa ajili ya kupata mwenza wa maisha. ni mama wa mtoto mmoja 8yrs nipo single bado kwa yeyote anipm nina 40yrs.
Kwanza awali ya yote umefanya uamuzi mzuri dada wa kutafuta umpendae ni kitu sahihi kabisa mimi nakuombea kwa mungu upate mume mzuri na mcha mungu lakini na wewe urudi nyuma uchunguze matatizo uliyonayo ama ya kitabia au mengineyo ambayo yalipelekea mkaachana na baba mwenye mtoto ili utakayempata hapa JF asije tena kukuacha kwa matatizo yasiyo na mantiki huuu ni ushauri tu
 
Sa mbona umechelewa sana nawe kutafuta mume...kuna lolote lililotokea hapo kati tunalopaswa kujua kabla hatujajitosa? By the way...am single with one son, mid 30s!

Kwa explanation yake, inaonyesha alizaa na mume wa mtu...sasa hapo akina dadaz ndo tunakosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…