Mume anahitajika

Mume anahitajika

Usijali aunt yangu hakuna limit ya umri wa kuolewa,endelea kumuomba mungu atakupatia wa kukutuliza moyo.Msalimie sana mtoto wako na endelea kuwa mama mwema
 
Usijali aunt yangu hakuna limit ya umri wa kuolewa,endelea kumuomba mungu atakupatia wa kukutuliza moyo.Msalimie sana mtoto wako na endelea kuwa mama mwema

Umeandika kwa hekima sana MTOTO WA DC.

Bravo!! Bravo!!
 
Last edited by a moderator:
Angalia sana huyu mume ukayempata hapa asikuzalishe mtoto wa pili na kukuacha. Cjui utatafuta vp mume mwingine.
 
Natumaini wote ni wazima
nakuja tena mara ya pili kwa ajili ya kupata mwenza wa maisha. ni mama
wa mtoto mmoja 8yrs nipo single bado kwa yeyote anipm nina
40yrs.

Kila la kheri dadaangu
 
Mi umri wangu mdogo,yaani wewe ni bibi yangu kabisa.Laiti ningekuwa na umri kama wako nisingefanya kosa hapo.
 
Back
Top Bottom