eeeeh!..!?Mwacheni amfukuze mdudu wake...ndipo atakapoona dunia chungu au tamu. Mwambieni ale kabichi na bamia kwa sana apate atelezi mzuri na majimaji mengi kwenye "K". Ache kulalama hapa bure...au tuje kukusaidia mummy...we miss ze good duduz!.
Mwacheni amfukuze mdudu wake...ndipo atakapoona dunia chungu au tamu. Mwambieni ale kabichi na bamia kwa sana apate atelezi mzuri na majimaji mengi kwenye "K". Ache kulalama hapa bure...au tuje kukusaidia mummy...we miss ze good duduz!.
Those are just msisitizo terms usihofu my hubby.wife vipi tena.wats goin on here?
Wewe mama shukuru Mungu Mzee ni ngangali. kuna wenzio wananlilia hiyo hawaipati.Dunia hii wanaume wengine wachovu wengine wako kama huyo bwana ambao wanawake wengine wangempata wangeshukuru
Those are just msisitizo terms usihofu my hubby.
Mbona na mwanamke akifanyiwa hayo hamumpi hiyo advice ya kwenda small house!The reason y yo hubby anafanya hivyo ni sababu he's attracted to you. Very. If anything, naweza sema kwamba hafanyi nje ya ndoa. Sasa shida itakuja pale utakapokua unamalaza na njaa. ATATOKA NJE. How will you feel then? Naelewa kwamba kuna women hampendi sana kufanya lakini tatizo liko pale unapopata mume kama huyo (like me). The decision is in your hands. Endelea nae hinyo hivyo wakati hupendi AU mwambie hupendi sana na atafute nyumba ndigo. amua
Lakini too much is harmfully!!!
HII NIMEQUOTE TOKA SEHEMU NIKIAMINI KUNA WATU WENGINE WENYE TATIZO LINALOFANANA NA HILI..
HEBU TUWASAIDIE MAWAZO..
"Mimi nina mume ambaye tumekuwa tunaheshimiana na pale tunapokorofishana tunawekana wazi. Ila naona mume wangu anatake advantage of the situation.kila tunapogombana tunaombana msamaha na kila nikimkanya mume wangu kwa tabia yake mbaya huwa anaomba msamaha na tunakuwa na amani lakini sasa yeye haamini nimemsamehe mpaka apate "chakula cha ndoa".
Yaani hata ukimwambia umemsamehe mpaka apate hiyo kitu ndiyo anaamini nimesamehe.
Tatizo siyo kutoa hiyo kitu lakini ni kwamba atataka mshinde siku nzima mkifanya hayo mambo. Tumeoana tuna miezi sita na bado hatuna watoto so we are free in the house.
Najitahidi kumridhisha lakini mwenzangu anahamu kubwa ambayo nashindwa kukabiliana nayo.
Wakati mwingine mpaka nafanya kukimbia kitandani au najichelewesha kwenda kitandani ili nikute ameshalala maana akianza hiyo kitu ni usiku mzima anataka haniachi nafasi ya kulala usingizi. Nikimueleza anasema atapunguza lakini wapi , mchezo ni uleule.
Sitaki aone nafanya mapenzi kama wajibu tu. Ila mwili pia huchoka na hamu huwa pia inaisha.Yaani mimi nafanywa kila siku na pata likizo siku nikiwa mwezini na hata hivyo nitaulizwa kama period imeisha ana hamu na mimi.
Naogopa nikisafiri sijui atafanya na nani maana bila hiyo kitu mume wangu atanifanyia vurugu za kila aina mpaka apate halafu atatulia kama vile si yeye.
Mlioolewa/kuoa mnafanya nini kukabiliana na hali hii inapotokea ? naomba ushauri"
Source: harusiyangu.com
Ehe hii kali nayo, unamaana gani mwenzetu hebu tupe dondoo mwaya.Dondoshea tone tatu za Mafuta ya Taa aka Kerosene kwenye Msosi!
mwacheni amfukuze mdudu wake...ndipo atakapoona dunia chungu au tamu. Mwambieni ale kabichi na bamia kwa sana apate atelezi mzuri na majimaji mengi kwenye "k". Ache kulalama hapa bure...au tuje kukusaidia mummy...we miss ze good duduz!.
Ehe hii kali nayo, unamaana gani mwenzetu hebu tupe dondoo mwaya.
Thanks for the tips...mbona sasa kutakuwa na harufu ya mafuta!Hiyo inatumika sana hata kwenye Boarding Schools, Mnashngaa tu Ashira wanakuja Debe halafu Msosi unakuwa na Mafuta ya Taa kumbe ni purposely ili vijana wasileyte Madhara! It remind me of Gold Moshi Sec School LoL!
nipo wangu, majukumu tu... Nimekumiss pia, thanx god upo salama
annina