Mume ananichosha kwa kupenda haki ya ndoa

Mume ananichosha kwa kupenda haki ya ndoa

Mwacheni amfukuze mdudu wake...ndipo atakapoona dunia chungu au tamu. Mwambieni ale kabichi na bamia kwa sana apate atelezi mzuri na majimaji mengi kwenye "K". Ache kulalama hapa bure...au tuje kukusaidia mummy...we miss ze good duduz!.
eeeeh!..!?
 
Hapo mmmmh............
 
The reason y yo hubby anafanya hivyo ni sababu he's attracted to you. Very. If anything, naweza sema kwamba hafanyi nje ya ndoa. Sasa shida itakuja pale utakapokua unamalaza na njaa. ATATOKA NJE. How will you feel then? Naelewa kwamba kuna women hampendi sana kufanya lakini tatizo liko pale unapopata mume kama huyo (like me). The decision is in your hands. Endelea nae hinyo hivyo wakati hupendi AU mwambie hupendi sana na atafute nyumba ndigo. amua
 
Wewe mama shukuru Mungu Mzee ni ngangali. kuna wenzio wananlilia hiyo hawaipati.Dunia hii wanaume wengine wachovu wengine wako kama huyo bwana ambao wanawake wengine wangempata wangeshukuru

Mambo ya rigwaride deile ni noma mazee. Anafanyia dozi?! Hata kiafya haishauriwi. Masanilo uko wapi?😀
 
Those are just msisitizo terms usihofu my hubby.

Mwambie bana, kama yeye ngoma yake ya Kitoto wapo wazee wa Kazi, They born to do it and they know how to do it, they cool but LoL:

This is the meaning of Husband kama alikuwa Hajui

H: Handsome
U: Useful
S: Smart
B: But
A: At
N: Night
D: Dangerous

Sasa kama unapiga Ki- Askofu Lazima Wahuni Wakumegee Kisela
 
The reason y yo hubby anafanya hivyo ni sababu he's attracted to you. Very. If anything, naweza sema kwamba hafanyi nje ya ndoa. Sasa shida itakuja pale utakapokua unamalaza na njaa. ATATOKA NJE. How will you feel then? Naelewa kwamba kuna women hampendi sana kufanya lakini tatizo liko pale unapopata mume kama huyo (like me). The decision is in your hands. Endelea nae hinyo hivyo wakati hupendi AU mwambie hupendi sana na atafute nyumba ndigo. amua
Mbona na mwanamke akifanyiwa hayo hamumpi hiyo advice ya kwenda small house!
 
HII NIMEQUOTE TOKA SEHEMU NIKIAMINI KUNA WATU WENGINE WENYE TATIZO LINALOFANANA NA HILI..

HEBU TUWASAIDIE MAWAZO..

"Mimi nina mume ambaye tumekuwa tunaheshimiana na pale tunapokorofishana tunawekana wazi. Ila naona mume wangu anatake advantage of the situation.kila tunapogombana tunaombana msamaha na kila nikimkanya mume wangu kwa tabia yake mbaya huwa anaomba msamaha na tunakuwa na amani lakini sasa yeye haamini nimemsamehe mpaka apate "chakula cha ndoa".

Yaani hata ukimwambia umemsamehe mpaka apate hiyo kitu ndiyo anaamini nimesamehe.

Tatizo siyo kutoa hiyo kitu lakini ni kwamba atataka mshinde siku nzima mkifanya hayo mambo. Tumeoana tuna miezi sita na bado hatuna watoto so we are free in the house.

Najitahidi kumridhisha lakini mwenzangu anahamu kubwa ambayo nashindwa kukabiliana nayo.

Wakati mwingine mpaka nafanya kukimbia kitandani au najichelewesha kwenda kitandani ili nikute ameshalala maana akianza hiyo kitu ni usiku mzima anataka haniachi nafasi ya kulala usingizi. Nikimueleza anasema atapunguza lakini wapi , mchezo ni uleule.

Sitaki aone nafanya mapenzi kama wajibu tu. Ila mwili pia huchoka na hamu huwa pia inaisha.Yaani mimi nafanywa kila siku na pata likizo siku nikiwa mwezini na hata hivyo nitaulizwa kama period imeisha ana hamu na mimi.

Naogopa nikisafiri sijui atafanya na nani maana bila hiyo kitu mume wangu atanifanyia vurugu za kila aina mpaka apate halafu atatulia kama vile si yeye.

Mlioolewa/kuoa mnafanya nini kukabiliana na hali hii inapotokea ? naomba ushauri"

Source: harusiyangu.com

Dondoshea tone tatu za Mafuta ya Taa aka Kerosene kwenye Msosi!
 
mwacheni amfukuze mdudu wake...ndipo atakapoona dunia chungu au tamu. Mwambieni ale kabichi na bamia kwa sana apate atelezi mzuri na majimaji mengi kwenye "k". Ache kulalama hapa bure...au tuje kukusaidia mummy...we miss ze good duduz!.

mhhhh....
Are u seriuos umei miss
the good one??????

I can do u a favour....wanna try?
 
Ehe hii kali nayo, unamaana gani mwenzetu hebu tupe dondoo mwaya.

Hiyo inatumika sana hata kwenye Boarding Schools, Mnashngaa tu Ashira wanakuja Debe halafu Msosi unakuwa na Mafuta ya Taa kumbe ni purposely ili vijana wasileyte Madhara! It remind me of Gold Moshi Sec School LoL!
 
Thanks for the tips...mbona sasa kutakuwa na harufu ya mafuta!
 
Mwache huyo mumeo yampate yale ya mc lema, dont apply new paradgim please
 
Ndiyo matatizo ya wana ndoa ambao "libido" lao halishabihiani. Kama wote wangekuwa na hamu sawa basi hili si tatizo kabisa bali ni furaha kila kukicha maana shughuli mtindo mmoja na wote mnafurahia ndoa yenu. Akimpata mume anayetaka mara moja au mbili kwa wiki pia atalalamika kwamba Mume wangu hanipendi maana ananinanihii mara moja tu au mbili kwa wiki hata nikimwambia hataki. Ndoa kweli zinatofautiana kati ya ndoa moja hadi nyingine.
 
Back
Top Bottom