Mume anapo-support ujinga wa mkewe!!!!


u're right AshaDii, na ndio maana sikukiondoa kile kibao kv wame-opt kuishi hivyo!!! Nilichofanya ni kumshauri kama rafiki on how could other pple perceive on such paintings! I still believe, it ain't right at all at least basing on my thinking ability!
 
Tena ww ndo umelengwa maana umeanza kuongea na mshkaji wako mambo ya kibao badala ya kuongea ishu iliyokupeleka ndo umbea huo wenyewe unaokusudiwa kwenye kibao.
Wao wenye nyumba ndo wanajua kwann wamekiweka kutokana na maswahibu yanayowakuta, we yanakuhusu nn maisha ya wa2-MIND UR BUSSINESS!
 

"Sikiliza zepipo, unajua ktk.................!!!!" am sorry mkuu, i was abt 2 tell u something, lakini ukiona nimeshia njiani basi fahamu kwamba nimekudharau, yaani u don' deserve my explaination!
 

Hiyo inaitwa "power of a woman" utaelewa vizuri inavyofanya kazi ukishaoa.
 
ni kweli hayo ndio maisha yao,lakini kwa maneno yaliyowekwa kama hayafai.mfano ningeenda kwa sister wangu,na kuona huo ujumbe,nisingekaa kimya,ningemuuliza tu na kumuelewesha.bila shaka urafiki wenu umeshibana,ndio maana umeyauliza.kwa jibu ulilipewa,siku nyengine usiyaulize tena.maana ndoa zina formular nyingi,mengine wewe utayaona kinyume,lakini kwa wao ni sawa tu
 
Mstaarabu hawezi kuweka maneno hayo lkn na mstaarabu hawezi kwenda nyumbani kwa mtu akataka kumpangia cha kufanya vile vile
 
Ushapata pm ngapi hadi sasa, maana kiaina uliwakilisha search.
 
Nakubaliana na wewe Ashadii. Labda ni shule ndogo kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo. Na kwa kuongezea ni kuto kujiamini.

Nimeshaona nyumba za watu wamebandika eti "am the boss in this house and my wife has the right to say so" Upuuzi mtupu. Nani kakuuliza kama wewe ni bosi au kidampa? Watu wamekaa kiugomvi ugomvi tuuuu. Nani asojua kuwa wewe ni bosi ndani kwako mpaka uweke tangazo. Mimi watu kama hao wala siwaulizi ila nawaweka kwenye kundi la watu ninaowadharau.

Kweli watu hawajuhi kuishi na watu; wanakaribisha ushari na unaona dalili mpaka masebuleni kwao.
 
Mstaarabu hawezi kuweka maneno hayo lkn na mstaarabu hawezi kwenda nyumbani kwa mtu akataka kumpangia cha kufanya vile vile

Sikumwambia akitoe hicho kibao, bali nilimshauri akitoe!!! Bila shaka hapo utaona kuna tofauti kubwa kati ya kumwambia afanye kile ninachokiamini na kumshauri afanye kile ninachoamini kipo sahihi! Akiwa kama mshikaji wangu, nina haki na wajibu wa kumshauri ingawaje sina haki wala wajibu wa kumwambia/au kumpangia afanye jambo lolote! By the way, jaribuni kumwelewa mtu, huyo niliyemzungumzia ni my friend, na sio mtu mtu tu, kama ulivyomwita (ingawaje wapo watakaouliza kwani yeye sio mtu)!!! Ni mtu ambae sichelei kumwambia kitu chchote hata kama hawezi kukubaliana na mimi; na huo ndivyo urafiki ulivyo!
 
Unajua humu tunapeana ushauri na ujumbe nilopata kupitia hii thread ni kuwa tuwe makini na vibao tunavyoweka majumbani kwetu. Unaweza kuta huyo mwanamke kawawekea mawifi na wakwe zake; lakini hata marafiki wanaweza wasitie mguu hapo nyumbani kwenu kama ni watu wa vibao vya mafumbo.

Hata maneno tunayoongea kwenye mazungumzo yanaweza kufukuza wageni; kuna familia zinageuka kuwa ni gumzo na watu wanapeana tahadhari ya ku stay away from them kwa sababu ya midomo michafu na ya kejeli ya mmoja au wanandoa wote. Binadamu wa kawaida hawezi kufurahia kutengwa; kama tunapenda kuwa na ndugu na marafiki tuwe makini na mabango na maneno tunayozungumza.
 
Ushapata pm ngapi hadi sasa, maana kiaina uliwakilisha search.
!

hahahahahaaa! Nazichambua kabla sijawapangia tarehe ya interview!!! Kama una sister bado analeta gozi gozi home na skonga imemshinda mwambie alete application yake na yeye, deadline 6 hours after thread's posting time!
 
Heheh mm nilienda nyumba moja ina kibao kizuuuri kimeandikwa ' All because two people fell in love' nilikitamani haswa...

Na je siku ukija kwangu ukakikuta cha "umbeya wako huko huko?!"
 
Ndo maana yake kisukari, na ndio maana ninaamini nina wajibu wa kumshauri kile ninachohisi na kuamini ni right hata kama sitakuwa right!
 

mKUU, you got me 101%! sina matatizo na vibao vyenye maandishi kwenye nyumba/gheto zetu lakini tuangalie aina ya ujumbe uliomo!!
 

Ustaarabu huna mkuu kajipange upya, maana kuja na hiyo generalization ya kuwa wanawake wa ukanda wa pwani wanapenda mipasho kwenye kadamnasi kubwa namna hii inaonyesha kuwa huna ustaarabu.


Pili kuingia hapa na heading hiyo ya "mtu anapo-support UJINGA wa mkewe" inaonyesha kwako ustaarabu ni sufuri. Huwezi kuwa mstaarabu ukamwambia mtu mkewe mjinga

Tatu wewe si mstaarabu kwa sababu uliuliza masuala personal ya wanandoa bila kujua kikomo chako
 
Mimi kama ningekuwa natafuta mchumba,ndio tumeenda nyumbani kwa mchumba tukakuta kibao hiko....

Lazima ndugu zangu wangeniambia duh...huu ukoo umekaa kimipasho na kishari

kazi unayo......
 


Nilikua sina maana kua what you did was wrong... NO! Ulifanya vizuri kumueleza (thou i have a feeling the way ulimueleza kwa mtu ambae ame condone mkewe aweke such kibao) labda kidogo haikuwa effective.... Na I bliv hii thread ni moja ya topics ambayo ni constructive, vyaweza onekana kama vitu vidogo but huleta maana kubwa saaana kwa observers wengine hasa wageni....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…