Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
Umenichekesha. Bora kushindanisha zawadi kwani ni faida kwa wanandoa.
Kuna zile za nyimbo za mipasho harusini. Oooh walisema amuoi mbona kamuo. Tena vidole wanawanyooshea wakwe na mawifi; si balaa ni nini?
Badala ya kuweka nyimbo za furaha na pongezi wanaanza mipasho. Oooh kwetu alikuwa anakula nyama msimpe kauzu.
Naheshimu sana wanawake hivyo naogopa kuwajibu ki2 ninachohisi kitawakwaza, ni hivyo tu kipipi and am telling u from deep inside my heart! Nakumbuka long time back, kuna dada mmoja humu humu JF mara kwa mara alikuwa anapenda sana kuchangia post zangu kwa matusi (sijui ugomvi wetu ulianzia wapi). Hata hivyo, nilimuomba aache hiyo tabia kwani naheshimu sana wanawake hivyo nilichelea nisije nikatumia lugha ambayo yeye alikuwa anaitumia! Sisemi ww umenitusi; ila nilihisi kukujibu sawa na ulivyochangia ingepelekea kujibu isivyo busara!
umenichekesha. Bora kushindanisha zawadi kwani ni faida kwa wanandoa.
Kuna zile za nyimbo za mipasho harusini. oooh walisema amuoi mbona kamuo. Tena vidole wanawanyooshea wakwe na mawifi; si balaa ni nini?
Badala ya kuweka nyimbo za furaha na pongezi wanaanza mipasho. oooh kwetu alikuwa anakula nyama msimpe kauzu.
Basi unakuta watu waanza kununiana toka siku ya harusi.
hiyo ndio inaitwa culture... mbaya kwako wenzio wanaienzi.
kama hujaombwa, si vizuri kutoa vilecture na ushauri juu ya maisha ya mwenzio, hasa yale yahusuyo mambo ya ndoa.
Hata kama watakuwa waswahili, hayakuhusu. Wewe endelea na 'ustaarab' wako na tafuta marafiki wastarab wa kuwatembelea.
hahahahaaa....! Justification is not allowed. Usiogope kijana we bomoka tu wala Kipipi hawezi kwazika kizembe zembe namna hiyo! Kumheshimu kwako mwanamke hakukuzuii kumdharau kipipi thats why ukamwambia kwa kuwa ye ni mwanamke so 'u have no coment'. Nilikuelewa sana, kwa hiyo hata ungeamua kutukana nisingeliconsider hilo tusi hata kidogo ila ningeangalia hoja uliyojibu! Uwe na amani kabisa!
nitatafuta kibao na mimi nitaweka mlangono kwangu."NATAFUTA MCHUMBA"
USINISHAWISHI niamini kwamba bado humu ndani watu hatufahamu ni hasa maana ya mambo ya ndoa!!!!! Ina maana kibao chenye maandishi ni masuala ya ndoa Freema?! gimme a break lady! Sikuuliza kwanini hawapati mtoto! Sikuuliza kwanini mke wake amekonda au amenenepa! Sikuuliza kwanini kaoa mwanamke kama yule!! Sikuuliza wanatarajia kupata watoto wangapi! Sikuuliza kwanini kila siku wanakula maharage au nyama! Sikuuliza kwanini kaoa mke mrefu/mfupi! Sikuuliza..........!!!! Mlolongo ni mrefu, hivyo sikutarajia kama mtu anaweza kushindwa kutofautisha kati ya maisha ya ndoa/family/personal na issues ambazo ni za kijamii zaidi!!! Sio siri, baada ya kuona umeibuka na jazba, nikalazimika kurudia kuisoma post yangu tena na tena!!! Ajabu ni kwamba, sikuona sehemu yoyote niliyoandika kwamba mshikaji wangu sio mstaarabu!!! wewe hiyo umeitoa wapi?! naona ulichofanya wewe sio kutaka kuichangia post yangu, bali kuendeleza malumbano aliyoyaacha mtu anayejiita Gaijin ambae nilimwambia sitaki malumbano! Hayo ya kwamba nikatafute rafiki mwingine mstaarabu umeyatoa wapi bibie?! Hivi unaweza kunijuza chanzo cha jazba hiyo wakati niliyekuwa nimemshauri tulikuwa tunaongea kirafiki na wala hakukereka!!! Sasa mwenzangu wewe kinachokufanya ufure kiasi hicho nini?! By the way, niliuliza kama ni busara kuwa na maandiko kama hayo majumbani kwetu; mwenzagu badala ya kujibu hoja unakuja na jazba na kunitaka "nitafute" rafiki mwingine mstaarabu!!!!!!! hivi mwenzangu wewe huwa hutoi ushauri kwa rafiki yako?! Usisema huingilii personal issues kv ile sio personal issue na wala sio suala la kindoa!
"Sikiliza zepipo, unajua ktk.................!!!!" am sorry mkuu, i was abt 2 tell u something, lakini ukiona nimeshia njiani basi fahamu kwamba nimekudharau, yaani u don' deserve my explaination!
unajua hakuna culture ambayo ni perfect na hatutaki kusema kuna walio superior kwa wengine ila kutokana na malezi tofauti mimi naona yale ambayo sikulelewa nayo na mwingine anaona yale ambayo ni issue kwenye culture yangu. Ila ukiwa mtu wa ku learn you can easily adjust na ku cope na watu wenye background tofauti. Ukishindwa ku learn ni bora uamue kuwa conservative kwa maana ya kuoa au kuolewa na watu wa kwenu.
Ndio maana ni rahisi kuishi na mtu aloenda shule kwa kuwa ana uwezo mkubwa wa ku mix na watu kwa sababu ya exposure
Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
Kwa nini tusiseme tu "kuna watu wambea" au " kuna watu wasengenyaji" au "kuna watu hawana utu zaidi ya pesa" tu badala ya kutaja sifa na kabila.
Naamini hakuna tabia iliyopo kwa watu wote wa kabila fulani tu ambayo watu wengine wa makabila mengine hawana