Mume anapokea 1M salary kwa mwezi na mke anapokea 3M, kutakuwa na heshima kweli hapa?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Mke analetwa home na gari la kazini mume anapanda dala dala, ukitela fyoko unaambiwa kaa pembeni.

1711012551327.png
 
Mke analetwa home na gari la kazini mume anapanda dala dala, ukitela fyoko unaambiwa kaa pembeni.

View attachment 2940731
Inategemea aisee. Nina rafiki yangu alifukuzwa kazi mwaka wa 8 au 9 sasa mke wake anavuta kama 3 hivi. Lakini hata kwao mke wanahisi mme ndiye anaendesha familia. Alinunua gari jina la kadi la mumewe. Wakitoka mume ndiye analipa bills lakini pesa kampa mke.
Yani huwezi jua kama mke ndiye anasimamia show na mke anamkubali mmewe kinoma.
 
Inategemea aisee. Nina rafiki yangu alifukuzwa kazi mwaka wa 10 sasa mke wake anavuta kama 3 hivi. Lakini hata kwao mke wanahisi mme ndiye anaendesha familia. Alinunua gari jina la kadi la mumewe. Wakitoka mume ndiye analipa bills lakini pesa kampa mke.

Mwaka wa kumi bado anategemea mshahara wa mwanamke? Ingekuwa bora atafute kazi au amuazime mke wake mtaji aache uboya.
 
Mungu ambariki huyo mke...wengine mshahara ukikata tu unaanza kusimangwa
 
Inategemea aisee. Nina rafiki yangu alifukuzwa kazi mwaka wa 10 sasa mke wake anavuta kama 3 hivi. Lakini hata kwao mke wanahisi mme ndiye anaendesha familia. Alinunua gari jina la kadi la mumewe. Wakitoka mume ndiye analipa bills lakini pesa kampa mke.
Yani huwezi jua kama mke ndiye anasimamia show na mke anamkubali mmewe kinoma.
Huyo shemeji yetu hana mdogo wake anisogezee 😁😂, hao wake ndo tunawatafuta sisi storo wei 🤣
 
Mke analetwa home na gari la kazini mume anapanda dala dala, ukitela fyoko unaambiwa kaa pembeni.

View attachment 2940731
Kama upendo wenu umebase kwenye mentality ya kwamba mume anatakiwa awe na mshahara mkubwa kuliko mke basi hapo mapenzi hayatakuwepo.

Inategemea ninyi wawili mapenzi yenu yameshikwa na kitu gani
 
Mwaka wa kumi bado anategemea mshahara wa mwanamke? Ingekuwa bora atafute kazi au amuazime mke wake mtaji aache uboya.
Ashajaribu biashara kibao zikafaili maana alipofukuzwa alikuwa na pesa ya kuanzisha miradi lakini aliingia kichwa kichwa akachoma zaidi ya mil 100 alizokuwa nazo. Ashajaribu biashara kibao na bado anajaribu but msimamia show ni mkewe
 
Back
Top Bottom