100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Mwanamke akikuzidi kipato huyo tayari anakuwa mwanaume mwenzio.
Mwanamke asikuzidi pesa.
Mwanamke asikuzidi umri.
Mwanamke asikuzidi elimu.
Mwanamke hata kimo asikuzidi utajuta.
Mwanamke hata akiwa anatokea kwenye family ina status au familia yao ni maarufu, my frendi utajuta na hakuna rangi utaacha kuona.
Mwanamke anaweza kuwa na milioni 100 haina kazi lakini elfu kumi yako anaipigia mahesabu na unayo hio hio.
Kwenye kila jambo exceptional zipo, wanawake wenye uwezo kiuchumi na wapo loyal wapo japo ni very rare ni kama miujiza flani.
Mwisho niseme kama una mwanamke anakuzidi fedha ni suala la muda tu, tupo hapa na utanikumbuka kwa hii kauli. Japo haijawahi nikuta binafsi lakini familia, marafiki n.k washapigwa na kitu kizito nashuhudia.