Mume anapokea 1M salary kwa mwezi na mke anapokea 3M, kutakuwa na heshima kweli hapa?

Mwanamke akikuzidi kipato huyo tayari anakuwa mwanaume mwenzio.

Mwanamke asikuzidi pesa.

Mwanamke asikuzidi umri.

Mwanamke asikuzidi elimu.

Mwanamke hata kimo asikuzidi utajuta.

Mwanamke hata akiwa anatokea kwenye family ina status au familia yao ni maarufu, my frendi utajuta na hakuna rangi utaacha kuona.

Mwanamke anaweza kuwa na milioni 100 haina kazi lakini elfu kumi yako anaipigia mahesabu na unayo hio hio.

Kwenye kila jambo exceptional zipo, wanawake wenye uwezo kiuchumi na wapo loyal wapo japo ni very rare ni kama miujiza flani.

Mwisho niseme kama una mwanamke anakuzidi fedha ni suala la muda tu, tupo hapa na utanikumbuka kwa hii kauli. Japo haijawahi nikuta binafsi lakini familia, marafiki n.k washapigwa na kitu kizito nashuhudia.
 
 
inaonyesha mwanaume hakuwahi kumpa jeraha lolote la moyo huyo dada lazima heshima iwepo
 
Huyo ni mwanamke wa nguvu hawa wa siku hizi siku 2 tu akilipa bill mtaa mzima utajua
 
Hakuna mwanamke atakaa na mwanaume 10 yrs hana ajira amvumilie, hata apokee 30 Mils per week. Am sure.
wapo nakuhakikishia inategemea tu wew ulipokuwa na ajira yako ulikuwa una mtreat vipi
kama ulikuwa ulikuwa mtu wa viwanja na wanawake wengine nyumban unarudi uchelewa umelewa maneno machafu na kipigo juu hahahah rafiki utajuta
 
🤝
 
Wapo hao watu tena wapo wengi wenye utu na moyo wa kibinadamu
Trust me kama mkeo awezi kukupiga tafu hapa na pale tambua kabisa ukipata tatizo, ulemavu kufukuzwa kazi na mengineyo anakukukimbia
Angalia kwanza kwa sasa je anakaba hapa na pale?
 
1/100,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…