Mume anatafutwa

Mume anatafutwa

Aiseeeee, forty years tafuta pa kupooza tu umri umekutupa mkono
 
Umetalakiana Kwa miaka minne Sasa.

Hapo unakuta ulipokua nahiyo miaka yako 36, ukaanza chepuka, ukamuona mumeo hafai, kisa umepata mchepuko alokudanganya kua achana tu, nitakuoaa ......

Pengine mchepuko huyo alikua nikijana ,ila kwakua anakupelekea motooooo haswaaa, ukaona Bora utafute sababu ya kuachana.



Naaam ukaachika kweli, kijana akaendelea kukupelekea motooo ,mwanzo hukuona shida kwakua una kazi.

Mara ghafla mauza uza yakwanza, kijana huyoooo akasema Tuachane.

Unashtuka tayari, Ndoa umeshatoka, mchepuko mmeachana!!.


Sasa Tena unarudi kutafuta Mume wa kuzeekana 🤣🤣🤣.


Swali langu kwako.... Je ukimpata Mume humu, hautachepuka Tena?? Je hautatafuta Kuvunja Ndoa Tena kisa mchepuko??.
 
Back
Top Bottom