Mume anatafutwa

Umejoin leo leo ili upate mume asiye mchaga hapa jf? Naona bado hujaijua jf kuwa ni mali ya wachaga 😂😂
 
Yaani una degree na kuendelea ila Huwezi kubainisha vitu Muhimu kama hivi.
Ulipaswa uandike Kimo chako pia
Ww ni Mfupi au mrefu ? Rangi yako'. Unaweka kimo chako na Cha huyo unaye mtafuta awe na kimo kipi na rangi iweje.
Kuhusu wachagga sishangai Maana Nimekutana na warembo wengi wanasema hawataki wachagga kumbe ni gia tu ya kuweza Kumchambua mchagga og.
Moyoni wanapenda wachagga...Nimeshudia Hilo.
 
Dude..is this supposed to be a compliment?
 
Kama huna dhambi naomba uwe wa kwanza kunitupia jiwe, hakuna mkamilifu chini ya jua. Niambie mtakatifu wewe unasubiri nini duniani, tangulia mbinguni Asap
[emoji16][emoji16] aende mbinguni kufanya nini wakati Mungu anapendezwa na watakatifu waliopo duniani?
 
Tafuta wa hadhi yako
Hiyo unayoita hadhi ingekuwa inasaidia sasa hivi ungekuwa tayari unae wa hiyo "hadhi" yako na wala usingeingia kwenye aibu hii unayopata sasa baada ya kuona umechakazwa vya kutosha na siku zinazidi kusonga sasa umeamua kujinadi,pole sana.
 
Kama huna dhambi naomba uwe wa kwanza kunitupia jiwe, hakuna mkamilifu chini ya jua. Niambie mtakatifu wewe unasubiri nini duniani, tangulia mbinguni Asap
Wapi nimeandika hayo uliyoandika Bi Mariam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…