Mume anatafutwa

Mume anatafutwa

Wacha MADHEREU hakuna mbabu sisi miaka tu ndio imesogea, ila nguvu akili, mikiki, patashika nguo kuchanika ni bado baro baro kabisa.
We mjaribu asipokunogea, mrudishe tutakupa kidume kingine 😂
Huyu ana warranty ya miaka 10. JERMAN MASHINE hii 😂
🤣🤣warrant ya miaka kumi mkuu! Palina unakubali kuwa na kibabu?
 
Bi mariam5 kaka yangu ni la saba na ameajiri mwenye degree ila mwaka huu ananunua uDokta nikulengeshee?
 
Dah ubao unasoma 1-0! Hapana kwa kweli. Na hiyo miaka 34 kwa wastani wahuni kama 50 hivi na zaidi pengine watakuwa wameshananii. Acha nitafute kitoto cha 2000.
Be a real man.
Real men don't fear dating or marrying women older than them.
An older woman is mature, Isn't she?
She slept with every man & is now tired & ready to settle. She can't disturb you.
She will treat you with love just like your mother.
 
Mkristu mwenye mtoto nje ya ndoa ni mzinzi. Inashangaza Bi. Mariam anatafuta mume mzinzi aliye serious [emoji23][emoji23].

Mambo yapo kasi sana.

Kama huna dhambi naomba uwe wa kwanza kunitupia jiwe, hakuna mkamilifu chini ya jua. Niambie mtakatifu wewe unasubiri nini duniani, tangulia mbinguni Asap
 
Uko tayari kwenda na Mimi Bi Mariam??Kwa upande wangu nimelipokea,,,kulisoma,,na kulitafakari kwa kina mnoo takwa lako,,Nipo tayari kuindeleza safari nawe!!tuwasiliane pm,,labda tunaweza pata wasaha wa kufahamiana zaidi na hatimaye kujuana zaidi kama hutojali lakini Bibiee Mariam.

Karibu sana PM, ni heshima kubwa sana kwangu kusikia haya kutoka kwako[emoji1545]
 
Je huna dhambi wewe, basi kua wa kwanza kunitupia jiwe, bear in mind dhambi zote ni sawa, tutubu na kuiamini injili, Asante.
Haikuwa lengo langu hilo, nilichojibu ni kuwa naqe watafuta mwenye mtoto ao hakuna tatizo
 
Ni kweli kila bidhaa ina soko lake pia ina bei yake. Unapopanga bei ya bidhaa inatakiwa iendane na quality ya bidhaa husika.
Vigezo vyako viendane na your Sex Market Value.
Miaka 33 plus mtoto juu your SMV is diminished. kusema nataka mwenye hiki na kile iyo nafasi hauna tena competition ni kubwa.

Your so bitter, acha ku judge kwa mtazamo wako pekee, kila mtu ana taste yake, competition is everywhere.
 
Back
Top Bottom