Mume anatafutwa

Mume anatafutwa

Masingle faza yanavyomponda single maza sasa 🀣🀣🀣🀣
Nyie bebaneni sisi wenyewe single ladies hatutaki wanaume wenye watoto πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Kuna muda utafika hata hao wenye watoto watatafutwa kwa tochi.
 
  • Thanks
Reactions: Avs
Hatulei bao la mwanamume mwenzetu

Being in a relationship with another man's baby mama yet there are so many decent women with no kids is a scarcity mindset

We hit single mamas and run
Ni mwanaume mjinga na mpumbavu tuu analea bao la mwanaume mwengine. Single mums ni kuapply FFF principle tuu
 
je utakubari kuwa na mubeba twofari tajili mwenye erimu ya ra saba mkondo wa ccm d rakin mwenye era kuriko wa digilii?
 
Nimepitia uzi wote lengo niangalie ni mdada gani wa zamani hajachangia huu uzi, ili nijui hii ID mpya ni ya nani. Nimeshamjua..πŸ˜„
 
Habari zenu wana Jf,
Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo;

Umri : 34 - 40
Dini : Mkristo
Elimu : Awe na Digrii na kuendelea
Awe ameajiriwa Serikalini au Private
Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM
ASIWE MCHAGA[emoji2]
Akiwa na watoto sawa ila asiwe ameoa kabla.
Awe na kipato kinachojitosheleza na maisha.

Sifa zangu
Umri : 33
Dini : Mkristo
Elimu: Kuanzia Degree
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja

Kwa yeyote aliye serious na maisha anakaribishwa sana.
Nipe namba yako plz.
My cv:
1. Single(but with 1 child)
2. Umri 50yrs
3. Ajira: Lecturer,Business man and practioner in ....
4. Total monthly income Tsh. 10,000,000/=.
Note it seriouslly:
1.Sitaki mke anayekunywa pombe ya aina yoyote ile.
2. Staki mke anayependa pesa sana.
3. Nataka mke anayejishughulisha.
4. Nataka mwenye uwezo wa kusimamia real estate business, bila kuingia tamaa.
Therefore; kama una sifa hizo nipe namba yako.
 
TF!!!!

You a dude? All these years I thought you were a she πŸ˜€.

Or maybe you’re gender fluid?
 
Habari zenu wana Jf,
Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo;

Umri : 34 - 40
Dini : Mkristo
Elimu : Awe na Digrii na kuendelea
Awe ameajiriwa Serikalini au Private
Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM
ASIWE MCHAGA[emoji2]
Akiwa na watoto sawa ila asiwe ameoa kabla.
Awe na kipato kinachojitosheleza na maisha.

Sifa zangu
Umri : 33
Dini : Mkristo
Elimu: Kuanzia Degree
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja

Kwa yeyote aliye serious na maisha anakaribishwa sana.
Sisi tulio under 30 vipi? Na elimu zetu za la saba A hatuchukui jimbo?
 
Hatulei bao la mwanamume mwingine

Being in a relationship with another man's baby mama yet there are so many decent women with no kids is a scarcity mindset

We hit single mamas and run

Wewe endelea na hao decent women with no kids, hujakatazwa mzee.
 
Back
Top Bottom