Mume anatafutwa

Mume anatafutwa

Jiandae kujibu maswali mengi ya kipuuzi kuhusu kipengele hicho 👆 lakini mimi nakutakia kila la heri katika utafutaji wako! 🙏🏿
Siyo maswali ya kipuuzi; ni maswali ya msingi. Mimi naanza; Kwa nini hakuolewa na Baba wa huyo mtoto wake?
Kama baba wa huyo mtoto yuko hai, yuko wapi na mawasiliano yao yakoje kuhusu mtoto wao?
 
Hujatembea wewe.
Hebu fika Tanga uone zile zinazofukizwa udi zinavyokua tight. MTU ana watoto watano lakini K inabana balaa.
hivi huwa wanafanyaje aisee inakua tight? nataka kuna manzi namuelewa sana ila imetepeta niipeleke huko garage. ina maana udi ndio ukifukuzwa kunako inakua inabana?
 
Of course, woman are very loyal to their standards.
Boys turn into men when they understand if a single mother had no kid, she wouldn't date him

Men let's choose high value women in their prime. Don't start a marriage with a single mother who wasted her youth

Starting a marriage life with a 33 yrs old single mom!! 🤔 I rather die alone
 
After years of being a professional bed-to-bed midfielder, she now looking for a retirement plan. Under no circumstances should we go after these low-hanging fruits.
 
mkuu Mbona code nyepesi ku decipher

baba wa mtoto ni mchaga na alimuacha kwa makofi so anamchukia huyo mwamba na wachaga woteee

😂😂😂
Hayo ya kwako,mwanamke gani atataka mwanaume mwenye sifa za kijinga na mkabila. Wachaga wana tabia za hovyo.
 
After years of being a professional bed-to-bed midfielder, she now looking for a retirement plan. Under no circumstances should we go after these low-hanging fruits.
Women waste their prime years on cock riding, hook up, night life, sugar daddies, and toxic boyfriends at the end of the day they become single mothers

After hitting 30+ they are looking for helpers to marry them

No, we are not retirement homes
 
Women will waste their prime years on cock riding, hook up, night life, sugar daddies, and toxic boyfriends at the end of the day they become single mothers

After hitting 30+ they are looking for helpers to marry them

No, we are not retirement homes
Spread the gospel isonge mbele kama injili NO SIMPING.
 
Habari zenu wana Jf,
Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo;

Umri : 34 - 40
Dini : Mkristo
Elimu : Awe na Digrii na kuendelea
Awe ameajiriwa Serikalini au Private
Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM
ASIWE MCHAGA[emoji2]
Akiwa na watoto sawa ila asiwe ameoa kabla.
Awe na kipato kinachojitosheleza na maisha.

Sifa zangu
Umri : 33
Dini : Mkristo
Elimu: Kuanzia Degree
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja

Kwa yeyote aliye serious na maisha anakaribishwa sana
 
Mbona sifa zako hazijitosherezi huja sema kama chura ipo huja sema kama ni mfupi mnene au kimbaumbau wengine tuna zingatia sana chura na kimo
 
Back
Top Bottom