GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
Mimi kwa uelewa wangu ni kwamba ndoa tunafunga kimila,kidini na kiserikali na kila upande unable taratibu zake. I'll supreme ni Serikali (Hata huko kanisani,kimila name msikitini) wanatoa cheti change serikali tu (Kwa mamlaka waliyokasimiwa)
Sasa maanaake ni kwamba kiserikali mahakama pekee ndio inatoa talaka. Ukienda kanisani hawatambui talaka yako, ukienda msikitini wanatambua kwahiyo itavunjwa name huko Kwa taratibu zao ukienda kwenye sheria za kimila nako itategemea name kanisa
Mfano wa benpol kama akiwa name talaka ya mahakamani anaweza kwenda kuoa tena popote pale(kimila,msikitini,bomani) ila hataoa tena kanisani. Kwa upande wa mkewe naye vivyo hivyo
Pia kama hatakua na talaka ya mahakama ni anaweza kuoa bomani (ndoa ya wake wengi) kwakua kwetu inaruhisiwa hakuna kosa last bigamy pia anaweza kuoa kimila kama anaongeza mke (inaruhusiwa) ila sijui kama anaweza kuoa msikitini (sinatra ujuzi sanatorium was sheria zao)
Kwa upande wa mkewake kama talaka haijatoka mahakamani yeye hawezi kuolewa kanisani,wala serikalini (mke haolewi mara mbili) sijui Kwa upande was uislam watajazia nyama