Mume au mke kubadili dini kutoka ukristo kwenda dini nyingine, je, Kunaifanya ndoa yake ya kanisani kuvunjika kidini na kisheria baada ya kubadili?

Mimi kwa uelewa wangu ni kwamba ndoa tunafunga kimila,kidini na kiserikali na kila upande unable taratibu zake. I'll supreme ni Serikali (Hata huko kanisani,kimila name msikitini) wanatoa cheti change serikali tu (Kwa mamlaka waliyokasimiwa)

Sasa maanaake ni kwamba kiserikali mahakama pekee ndio inatoa talaka. Ukienda kanisani hawatambui talaka yako, ukienda msikitini wanatambua kwahiyo itavunjwa name huko Kwa taratibu zao ukienda kwenye sheria za kimila nako itategemea name kanisa

Mfano wa benpol kama akiwa name talaka ya mahakamani anaweza kwenda kuoa tena popote pale(kimila,msikitini,bomani) ila hataoa tena kanisani. Kwa upande wa mkewe naye vivyo hivyo

Pia kama hatakua na talaka ya mahakama ni anaweza kuoa bomani (ndoa ya wake wengi) kwakua kwetu inaruhisiwa hakuna kosa last bigamy pia anaweza kuoa kimila kama anaongeza mke (inaruhusiwa) ila sijui kama anaweza kuoa msikitini (sinatra ujuzi sanatorium was sheria zao)

Kwa upande wa mkewake kama talaka haijatoka mahakamani yeye hawezi kuolewa kanisani,wala serikalini (mke haolewi mara mbili) sijui Kwa upande was uislam watajazia nyama
 
Halafu Ben Pol yeye alioa mwanamke Tajiri...

Mwanamke tajiri hausiki kwenye sheria ya ndoa?

Ben pol ametumika kama case study sababu ni mtu maarufu ambaye amefunga ndoa ya kikristo na amebadili dini kuhamia uislamu.

Swali nimeuliza kujua sheria za ndoa zikoje kwenye hili..

Mkristo yeyote ambaye amefunga ndoa ya kanisani ambayo kikristo ni mke mmoja tu anaruhusiwa.. then huyo mwanaume akabadili dini na kuhamia uislamu. Kisha baada ya kuhamia uislamu akaamua kuoa mke mwingine muislamu kwa utaratibu wa kiislamu. Je sheria inawatambua hao wake wote kama wake halali?
 
Why mke wa Ben Pol alienda kudai talaka?
Ina maana bila talaka angebaki kuwa mke kisheria...
So ndoa ikishafungwa hadi itoke talaka nndo inakufa..

Kubadili dini si unaweza badili tena ukarudi kwa dini yako na mkeo?
 
Ukiwa na ndoa ya halali ya dini nyingine ikitokea mmoja wenu kahamia kwenye uislamu hasa mwanaume ndoa inaendelea kutambulika, isipokuwa kwa wakristu ile ndoa inakuwa batili ,mwanamke moja kwa moja anakuwa hana ndoa.
Kwa sheria ya Tanzania ilivyo,regadless mtu umeamia dini gani-kitendo cha mmoja wenu kubadilisha dini mkiwa ndani ya ndoa kinabatilisha uhalali wa ndoa hiyo automatically.Stay informed
 
Hapa watu wanachanganya kati ya dini na sheria mfano hata ukifunga ndoa kanisani mahakama inatoa talaka lakini kanisa halitambui talaka inatambua ndoa moja tu, kwa swala la benpol kama hajaachana na mke wa awali basi uislamu unamtambua mke wake wa kwanza kama mke wake wa halali na kama hawajaachana. Lakini kwa upande wa mke wa benpol kwenye ukristo ndoa yao inabatilishwa.
Ila kimahakama kama hajampa mke wake wa awali talaka ndoa zake zote zinatambulika.
Umemaliza
 
Why mke wa Ben Pol alienda kudai talaka?
Ina maana bila talaka angebaki kuwa mke kisheria...
So ndoa ikishafungwa hadi itoke talaka nndo inakufa..

Kubadili dini si unaweza badili tena ukarudi kwa dini yako na mkeo?

Jibu lako linajibu nusu nusu. Kuna hoja huzitolei majibu tuelewe. Soma hoja vizuri kwanza kisha tupe majibu ili tuelewe

"Mkristo yeyote ambaye amefunga ndoa ya kanisani ambayo kikristo ni mke mmoja tu anaruhusiwa.. then huyo mwanaume akabadili dini na kuhamia uislamu. Kisha baada ya kuhamia uislamu akaamua kuoa mke mwingine muislamu kwa utaratibu wa kiislamu. Je sheria inawatambua hao wake wote kama wake halali?
 
Hapa tutaweka maelezo mengi, ndio maana kila tunashauriana kila siku mtu aoe/aolewe na wa dini yake, kimsingi kufanya hivyo ni kuepusha matatizo.
 
Jibu lako linajibu nusu nusu. Kuna hoja huzitolei majibu tuelewe. Soma hoja vizuri kwanza kisha tupe majibu ili tuelewe

"Mkristo yeyote ambaye amefunga ndoa ya kanisani ambayo kikristo ni mke mmoja tu anaruhusiwa.. then huyo mwanaume akabadili dini na kuhamia uislamu. Kisha baada ya kuhamia uislamu akaamua kuoa mke mwingine muislamu kwa utaratibu wa kiislamu. Je sheria inawatambua hao wake wote kama wake halali?

Ndio inawatambua wote unless kuwe na talaka
 
Kwa case kama ya ben pol mfano. Amefunga ndoa ya kikristo kisha akabadili dini na kuhamia uislamu, then akafunga ndoa ya kiislam na binti mwingine wa kiislam kabla ya mahakama kutoa talaka ndoa yake ya dini ya awali ya ukristo. Je ndoa zote zinakuwa na uhalali kisheria? Wake wote wawili wanakuwa wake halali?
Ndoa halali inakuwa ya kikristo tu hapo kubadili dini haikufanyia ndoa ya mwanzo iwe batili
 
Kwa sheria ya Tanzania ilivyo,regadless mtu umeamia dini gani-kitendo cha mmoja wenu kubadilisha dini mkiwa ndani ya ndoa kinabatilisha uhalali wa ndoa hiyo automatically.Stay informed

John7371 umeelezea vizuri sana, short&clear, wengi wanadhani ndoa za kiserikali hazitambui uwepo wa dini, lakini ukweli ni kwamba hata hao wanaofungisha ndoa wamepewa kibali cha serikali, cheti kinachotoka ni cha serikali na ndani kinaonesha ndoa kama ni ya kiislam ama kikristo, lakini pia kwa waislam kinaonesha kama ni polygamous (hii ina apply kwa waislam) na monogamous (hii ina apply wa wakristo.
Nimependa ujumbe wako wa hapo mwisho
[emoji1474]
 
Ndoa halali inakuwa ya kikristo tu hapo kubadili dini haikufanyia ndoa ya mwanzo iwe batili

Je ndoa mpya hapo ni batili ama sio batili

Why ndoa halali inakuwa ya kikristo tu wakati mwanaume ameachana na ukristo na kwenda uislamu?

Why Ndoa mpya ya kiislam inakuwa sio halali?
 
Kwa sheria ya Tanzania ilivyo,regadless mtu umeamia dini gani-kitendo cha mmoja wenu kubadilisha dini mkiwa ndani ya ndoa kinabatilisha uhalali wa ndoa hiyo automatically.Stay informed
Mahakama haina dini mkuu. Mfano mmoja kabadili dini na bado mnaishi pamoja kama mke na mume, mahakama haiwezi kuvunja ndoa yenu labda mtahukumiwa kupitia dini zenu ndoa yenu iko palepale kisheria mpaka mtapoamua wenyewe kuaza kuprocess mambo ya talaka mahakami.
 
Mimi kwa uelewa wangu ni kwamba ndoa tunafunga kimila,kidini na kiserikali na kila upande unable taratibu zake. I'll supreme ni Serikali (Hata huko kanisani,kimila name msikitini) wanatoa cheti change serikali tu (Kwa mamlaka waliyokasimiwa)

Sasa maanaake ni kwamba kiserikali mahakama pekee ndio inatoa talaka. Ukienda kanisani hawatambui talaka yako, ukienda msikitini wanatambua kwahiyo itavunjwa name huko Kwa taratibu zao ukienda kwenye sheria za kimila nako itategemea name kanisa

Mfano wa benpol kama akiwa name talaka ya mahakamani anaweza kwenda kuoa tena popote pale(kimila,msikitini,bomani) ila hataoa tena kanisani. Kwa upande wa mkewe naye vivyo hivyo

Pia kama hatakua na talaka ya mahakama ni anaweza kuoa bomani (ndoa ya wake wengi) kwakua kwetu inaruhisiwa hakuna kosa last bigamy pia anaweza kuoa kimila kama anaongeza mke (inaruhusiwa) ila sijui kama anaweza kuoa msikitini (sinatra ujuzi sanatorium was sheria zao)

Kwa upande wa mkewake kama talaka haijatoka mahakamani yeye hawezi kuolewa kanisani,wala serikalini (mke haolewi mara mbili) sijui Kwa upande was uislam watajazia nyama
Uko sahihi
 
Mahakama haina dini mkuu. Mfano mmoja kabadili dini na bado mnaishi pamoja kama mke na mume, mahakama haiwezi kuvunja ndoa yenu labda mtahukumiwa kupitia dini zenu ndoa yenu iko palepale kisheria mpaka mtapoamua wenyewe kuaza kuprocess mambo ya talaka mahakami.
Unaongea kwa hoja ya kisheria au mawazo binafsi mkuu? Kwa sheria ya ndoa ya mwaka 1971 -inaainisha moja ya mambo yanayoweza kupelekea breach of contract ni kubadili dini -Soma Marriage Act 1971 section 107(1(1).Simple
 
Ndoa halali inakuwa ya kikristo tu hapo kubadili dini haikufanyia ndoa ya mwanzo iwe batili
Hapana.Kisheria haipo hvyo Soma Tanzania Marriage Act 1971 Section 107 (1(1))
"Change of religion by the respondent, where both parties followed the same faith at the time of the marriage and where according to the laws of that faith a change of religion dissolves or is a ground for the dissolution of marriage. "
 
Mahakama haina dini mkuu. Mfano mmoja kabadili dini na bado mnaishi pamoja kama mke na mume, mahakama haiwezi kuvunja ndoa yenu labda mtahukumiwa kupitia dini zenu ndoa yenu iko palepale kisheria mpaka mtapoamua wenyewe kuaza kuprocess mambo ya talaka mahakami.
Ni kweli mahakama haina dini lakini inatambuwa uwepo wa dini-na katika kuamua talaka huzingatia taratibu za kidini pia.Usisahau hilo.
 
Ninavyoelewa ndoa ikishafungwa iwe katika dini yeyote,hapo tayari hutambulika kisheria.Mmoja kuhama dini haiathiri ndoa hiyo kwa kuifanya batili,ndoa huvunjwa mahakamani tu.
Mawazo yako yanasimamia miguu gani ya kisheria mkuu?
 
Unaongea kwa hoja ya kisheria au mawazo binafsi mkuu? Kwa sheria ya ndoa ya mwaka 1971 -inaainisha moja ya mambo yanayoweza kupelekea breach of contract ni kubadili dini -Soma Marriage Act 1971 section 107(1(1).Simple
Uko sahihi, ila mahakama haiwez vunja ndoa moja kwa moja , mpk mmoja wenu akalalamike ndio mahakama itavunja ndoa kwa kipengele hicho lakini kama wenyewe mmekubaliana sheria bado itawatambua km mke na mume. Pasipo wenyewe kuishirikisha mahakama.
 
Hapana.Kisheria haipo hvyo Soma Tanzania Marriage Act 1971 Section 107 (1(1))
"Change of religion by the respondent, where both parties followed the same faith at the time of the marriage and where according to the laws of that faith a change of religion dissolves or is a ground for the dissolution of marriage. "

Shukrani kwa elimu,kwa hiyo mmoja akibadili dini na kama sheria za dini waliyofungia ndoa inasema mmoja akibadili imani ndoa inavunjwa...so ili ndoa hiyo ionekano haipo kabisa ni lazima ithibitishwe na mahamakama?na hivyo mmoja wao lazima awe amepeleka malalamiko ya kutaka ndoa ivunjwe?au ipoje..
 
Back
Top Bottom