mume hatoi unyumba

pal, huyu ashadii nampenda lakini anakua very explicit, hebu atueleze mwanamkw goli gapi kwa wiki (akikojoa yeye ndio zinamtosha?)

ukirudi uje chadibwa, tuna bendi siku hizi jana na juzi nilikua hape ni raha tupu

....for real kaka, for real...ila ile foleni ya kurudia mjini via pantoon, au kuzungukia mbagala imekaaje?
nitatia team hapo kwa mkulu wa kituo,..hahah..

AshaDii,...nasubiria kusoma jibu, kamanda keshaabandika swali hapo.
 
...duuhhh, aisee...namimi nimo kwenye kundi hilo ila sikujua kama tafsiri yake nipo "sooo weak"...lol!
mawazo yangu 'nimekinai' tu...

Wanaume wasio na nguvu ndio wanaoongoza kwa kujisifia game wawapo kijiweni.... This makes me Grade you in an "A List" in the game.....lol....

Naomba tu wasiohusika wasisome hapa... Nisije pata mzungu wa nne leo.... Nitakufa!.... hahahha.....
 
....for real kaka, for real...ila ile foleni ya kurudia mjini via pantoon, au kuzungukia mbagala imekaaje?
nitatia team hapo kwa mkulu wa kituo,..hahah..

AshaDii,...nasubiria kusoma jibu, kamanda keshaabandika swali hapo.
nina fomyula, nimejiunga na timu ya mazoezi ya jeshi... napitia kule nyuma wananipa saluti aisee, na panki nimenyoa mkuu

we njoo utaniamkia
 
Wanaume wasio na nguvu ndio wanaoongoza kwa kujisifia game wawapo kijiweni.... This makes me Grade you in an "A List" in the game.....lol....

Naomba tu wasiohusika wasisome hapa... Nisije pata mzungu wa nne leo.... Nitakufa!.... hahahha.....
uko very right aise

tena mimi yani kwa wiki goli hamsini, yani zikizidi huwa nakamua kama ngome wa maziwa na kuweka kwenye chupa..... aisee

yani hata suruali ikinigusa tu, bao!!!
 
we acha kabisa hii kitu inatuogopesha kwa sie tulio nje lakini naona kitchen party ya dada AshaDii ipo juu.
he, za kidunguche zimeingia.... leo kazi ipo!!! unatafuta nini huku kwa wakubwa we dogo??? hii mada ni ya wanandoa, kwani wewe pia ni mwanandoa?
 
heheeh acha nirest my case tu mpaka pale nitakapopewa definition ya mume/ mwanaume. Kama kuna uwezekano kwamba huyu jamaa anajipoza nje basi huyu atakuwa the worst cheater of this modern time. Napenda sana nimpe cheo cha "cheater" lakini haqualify kabisa yaani.

- Miezi mitano?
-Stupid excuses?
-Good communication/ haoneshi kwamba anatoa adhabu kwa kosa fulani alilotendewa?
- Hiding uanaume wake kwa mke wake?

Its complicated
 
Hahaha Mbu yep acha tukubaliane kwa hilo. Maswali yangu ni mawili tu.
1) Mwanaume gani dunia hii anaweza kumpa mgongo mwanamke anaelala nae kitanda kimoja miezi 5?
2) Ujumbe gani unaupeleka kwa kumnyima mwanamke unyumba for that long?
 
tablet

si nilishasema ni wiki sema mama kwa genye anaona kama eternity aisee!!! ushawahi kusubiri demu kwa one hour??? its like twelve year mkuu

lakini na huyo bibi ana issue, hivi kuna mwanaume duniani anaweza kushikwa hiyo nduruu na mkono wa mwanamke ikalala kweli??? au huyo mama hajui role yake???

Mimi namtupia lawama huyo mama..... yeye wakati wa kulala aishike tu hiyo kidodoma ya baba uone kama jamaa hajalala chali kama chura kafa maji:A S 13:
 
You are the best Kungwi in JF history lol acha nikuletee haka kasmol hauz kangu ukafunde. Hii post yako naikubali yote Ashadii na ina ujumbe mzito sana. Unajua hii kesi mimi siwezi kutoa conclusion lakini kama ilivyoelezewa ni kweli basi there is something damn serious wrong somewhere. Linapokuja suala la sex kwangu mimi sisi wanaume ni viumbe dhaifu na wahitaji sana. 5 months without clear message hii mimi inanipa headache sana.
 
Hahaha now u r talking. Hapo tuko pamoja kamanda. Hawa wadada (baadhi) samtaimu wanataka mpaka wabonyezwe kwa remote control ndio warembue at least macho. Wanaringa mpaka vyumbani, wanauchuna utafkiri napata sawabu peke yangu vile.
 
well said,

mimi akigusa tu huyo abdala, ni dhahma aisee............ sijui kama kuna kidodoma chochote chenye functional qualities kitalala kikiguswa na mikono laini aisee
 
well said,

mimi akigusa tu huyo abdala, ni dhahma aisee............ sijui kama kuna kidodoma chochote chenye functional qualities kitalala kikiguswa na mikono laini aisee

Dah! yaani udhaifu wetu wote upo hapo kamanda, mimi samtaimu waifu akienda kazini nikiondosha nguo juani basi lile kufuli la waifu nikilishika tu naskia tanesco inafanya vitu vyake maeneo ya kusini ya suruali karib na zipu. Sasa hii miezi 5 duh! huyu lazima atakuwa nabii mpya tu
 
aisee............... hebu kacheki "cingulate gyrus" mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…