Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa si haki yake mwe! unyumba lazima baaaaaaaaabu
akiuliza anaambiwa umekosa nini humu ndani unanjaa.huvai.......mm mpaka namuulizaga ninani alianzaga kumtokea mwenzake isijekua ni ww shost ndio mana jamaa anazingua(ila hua namulizaga in utani way asije nichunia bure mwaka nikafa na mm ndio shost wanguKamanda inawezekana tuko tofauti lakini mimi miezi mitano kwangu mingi sana aisee, labda nikubaliane na wewe kwamba jamaa mapenzi kwa waifu yametoweka (kuna chuki ndani ya nyumba) na ana vimada na anavitumia kumkomoa waifu wake. Lakini hii inanipa shaka kuiamini kwasababu jamaa anasomeka kwamba hana tatizo na waifu kimaongezi na kimawasiliano (refer to those stupid excuses of his).
Niulize suala,
hivi mwanaume unaanzaje anzaje kukataa unyumba kwa miezi mitano na still ukategemea ukuwe refered kama mwanaume na wife wako? Hauoni kwamba jamaa tayari amejivua stage moja ya ujanadume?
Anamkomoa? I dont think so. Haoneshi hivyo kwenye excuses zake
hapana hadanganyi koz nilishawai kukaa kwake wiki3 na sikumuona mumewe nikamuulizaga akajibu kaenda mikoani ila hakusemaga kitu ..........naona maji yamemfika shingoni ndio mana kanisimulia kisa chotekweli aisee
pia inawezekana kabisa, ni wiki tano tu, sema mama genye imevuka mpaka anahesabu wiki kama miezi[/QUOTE]
hehehe possible manake zile ndude mbaya sana, kuna wengine wanajifanyaga kupandisha mashetani kabisa yaani
you are always my kabinti ShaDii, you are truly a little angle :tongue:
You are the best Kungwi in JF history lol acha nikuletee haka kasmol hauz kangu ukafunde. Hii post yako naikubali yote Ashadii na ina ujumbe mzito sana. Unajua hii kesi mimi siwezi kutoa conclusion lakini kama ilivyoelezewa ni kweli basi there is something damn serious wrong somewhere. Linapokuja suala la sex kwangu mimi sisi wanaume ni viumbe dhaifu na wahitaji sana. 5 months without clear message hii mimi inanipa headache sana.
sijasema wanalala miezi mitano .......yani anakujaga bada ya wiki alafu kila akija anajidai kachoka sana so hamgusi na aliniambia kuna siku alimshika ila ikaamka na kulala kila ikiamka inalala..........au anamatatizo ila hataki mkewe ajue anaogopa ataachwa mana who knowsHivi wewe ulale na njemba miezi mitano halaf ikwambie haiwezi kukudownload kwasababu imetishwa na operesheni ya mgonjwa utaitafsiri vipi? hii haihitaji kamkoda bana
kwenye black nakuunga mkonoLawyer kuna wale ambao wanaishi mapenzi ya miaka 47, kuongea vitu vinavohusiana na Mapenzi na mkeo ni kama kujidhalilisha na you as a man kuambiwa kua hujui utendalo. Sex yenyewe ni wakati wa giza tu na kuvua zote marufurku! Hivi mwanaume wa namna hio pale itapo tokea kwa sababu zozote zile apoteze nguvu zake za utendaji... Do you think aweza ambia the wife?
Na kumbuka kua kuna wanaume wengine wapo sooo weak. Yaani yeye hata mara moj kwa mwezi inatosha tena sio zaidi ya goli.... huyo ukileta mzaha anaweza kukuweka jangwani miezi 6 kabisaaa....
sijasema wanalala miezi mitano .......yani anakujaga bada ya wiki alafu kila akija anajidai kachoka sana so hamgusi na aliniambia kuna siku alimshika ila ikaamka na kulala kila ikiamka inalala..........au anamatatizo ila hataki mkewe ajue anaogopa ataachwa mana who knows
kuna nyimbo ya maneti ilikua inasema
wivu wivu ukizidi
inakua kero, mama mama maaaaa
hata nikienda kazini, unaona wivu
bebiiiii, unaona gereee, mama mama maaaaa
nina rafiki yangu kaniomba ushauri na mimi sikuweza kumpatia majibu
ameolewa wana miaka mi4 sasa ktk ndoa na wamebarikiwa mtoto wa kike .......mume wake ni doctor private hospital....
mara ya kwanza alikua anarudi sa moja au akichelewa sana sa mbili ila alikua hazidishi hapo......miezi 6 iliyopita akaanza kuja sa nne usiku na sa ingine asubui akija anatoa sababu kuliletwa mgonjwa kazidiwa sana aliitaji msaada wa haraka so wakabaki kumpatia huduma ,sa ingine anasingizia majeruhi wengi wa ajali leo,mara ooh! nilikua namsaidia doctor mwenzangu kazi kidogo......
ikaja ikafikia hatua hata unyumba hampi shost wangu anamuambia leo nimekutana na mtu kaharibika kila sehemu sina stimu nipe tu wine nilale mana akili imechoka,mara majeruhi wa ajali leo wamenichefua,mara leo nimeona mgonjwa wa cancer sina mood kabisa hata ya msosi(akawa na akija anasema kashiba kabisa hawezi kula)
yani ikawa kila akirudi anakuja na stori ya kuhuzunisha kuliko ya jana yake ili umuonee huruma na kuacha kumuuliza kuhusu unyumba yy alale tu......badae akaanza safari za mikoani mara nimetumwa kikazi,mara nimetumwa kwenda kusaidia hopital ya mkoa moshi kcmc,mara morogoro,mara mbeya yani ikawa inapita hata mwezi hajamuona home anapiga tu simu kua kashindwa kurudi anatuma tu pesa M pesa na kulipa bili ya umeme na maji ju kwa ju
siku moja karudi anamkwaruzo mkubwa kiunoni akasema eti meza ofisini ilimkwarua khaa!.......shost analipiwa ada na huyo mumewe mzumbe university na mdogo wake yuko CBE mwaka wa pili wote analipia huyo mume sasa anashindwa kuondoka mana akiondoka service zinatoweka zote izo......
jana kanipigia simu kua ana miezi 5 hajamgusa wala kuguswa na mumewe eti akimuuliza anajibiwa umekosa nn hapa ndani kama ni hela nakupa na card moja ya bank unayo wewe ukitaka hela katoe,umeme nalipa,maji,kodi .pia unasoma unataka nini zaidi na nishakuambia sina urithi wa kukuachia zaidi ya elimu so nitakusomesha mpaka mwisho
mm nilitaka kumuambia ondoka ila roho ikasita badala yake nikaishia kumuambia pole mpz..............nimekuja huku kuomba ushauri nimuambie nini sasa huyu shost wangu mana namuonea tu huruma asije kuuliwa na HIV......
mi najua huyo mkaka anakimada njee sasa iko cha nje labda ni kikali sana kupitiliza ..........ama anajua akifanya na mkewe siku akienda kule ataulizwa nguvu ziko wapi............ama yule wa nje anatoa tigo mana wadada siku hizi hawajambo(just saying)aminata hebu ongea na rafiki yako vizuri upate muda wa kumuuliza maswali ya hapo kwa papo,angalau utajua pa kuanzia
nina rafiki yangu kaniomba ushauri na mimi sikuweza kumpatia majibu
ameolewa wana miaka mi4 sasa ktk ndoa na wamebarikiwa mtoto wa kike .......mume wake ni doctor private hospital....
mara ya kwanza alikua anarudi sa moja au akichelewa sana sa mbili ila alikua hazidishi hapo......miezi 6 iliyopita akaanza kuja sa nne usiku na sa ingine asubui akija anatoa sababu kuliletwa mgonjwa kazidiwa sana aliitaji msaada wa haraka so wakabaki kumpatia huduma ,sa ingine anasingizia majeruhi wengi wa ajali leo,mara ooh! nilikua namsaidia doctor mwenzangu kazi kidogo......
ikaja ikafikia hatua hata unyumba hampi shost wangu anamuambia leo nimekutana na mtu kaharibika kila sehemu sina stimu nipe tu wine nilale mana akili imechoka,mara majeruhi wa ajali leo wamenichefua,mara leo nimeona mgonjwa wa cancer sina mood kabisa hata ya msosi(akawa na akija anasema kashiba kabisa hawezi kula)
yani ikawa kila akirudi anakuja na stori ya kuhuzunisha kuliko ya jana yake ili umuonee huruma na kuacha kumuuliza kuhusu unyumba yy alale tu......badae akaanza safari za mikoani mara nimetumwa kikazi,mara nimetumwa kwenda kusaidia hopital ya mkoa moshi kcmc,mara morogoro,mara mbeya yani ikawa inapita hata mwezi hajamuona home anapiga tu simu kua kashindwa kurudi anatuma tu pesa M pesa na kulipa bili ya umeme na maji ju kwa ju
siku moja karudi anamkwaruzo mkubwa kiunoni akasema eti meza ofisini ilimkwarua khaa!.......shost analipiwa ada na huyo mumewe mzumbe university na mdogo wake yuko CBE mwaka wa pili wote analipia huyo mume sasa anashindwa kuondoka mana akiondoka service zinatoweka zote izo......
jana kanipigia simu kua ana miezi 5 hajamgusa wala kuguswa na mumewe eti akimuuliza anajibiwa umekosa nn hapa ndani kama ni hela nakupa na card moja ya bank unayo wewe ukitaka hela katoe,umeme nalipa,maji,kodi .pia unasoma unataka nini zaidi na nishakuambia sina urithi wa kukuachia zaidi ya elimu so nitakusomesha mpaka mwisho.
mm nilitaka kumuambia ondoka ila roho ikasita badala yake nikaishia kumuambia pole mpz..............nimekuja huku kuomba ushauri nimuambie nini sasa huyu shost wangu mana namuonea tu huruma asije kuuliwa na HIV......
..Tobaaaasijasema wanalala miezi mitano .......yani anakujaga bada ya wiki alafu kila akija anajidai kachoka sana so hamgusi na aliniambia kuna siku alimshika ila ikaamka na kulala kila ikiamka inalala..........au anamatatizo ila hataki mkewe ajue anaogopa ataachwa mana who knows
sasa unashangaa ilo dogo mbona kuna mjeda moro alikua anatembea na mtoto wa la sita mafiga primary aawa hampi mkewe hata kidogo...........miezi 8 ilikua kila akija akiona leo dalili ziko anaanzisha kosa anafoka mpka mke kimyaaaaaa haulizi wala nini..........mpaka kale katoto kakawa kila kakipita karibu na nyumba ya yule mama kanasema utafua sana magwanda ninachompa mm wewe hukiwezi.......mke ndio kushtuka kukimbilia kwa wazeeswahiba mbaya sana wewe, yani umeoverule washenga, wazazi, makanisa na viongozi wengine wa kidini... na umeshaivunja hiyo ndoa sababu tu ya penetration na hatuna hakika kama ni wiki 5 au miezi 5
hii kazima tuinywee hapo car wash na kukubaliana kwanza aisee, tena hii MTM senior lazima aitwe kwenye shauri