mume hatoi unyumba

Lawyer Klorokwini, kwa maneno maneno mengine hiyo ndoa ni null and void....miezi mitano.....no way..

swahiba mbaya sana wewe, yani umeoverule washenga, wazazi, makanisa na viongozi wengine wa kidini... na umeshaivunja hiyo ndoa sababu tu ya penetration na hatuna hakika kama ni wiki 5 au miezi 5

hii kazima tuinywee hapo car wash na kukubaliana kwanza aisee, tena hii MTM senior lazima aitwe kwenye shauri
 
Lawyer Klorokwini, kwa maneno maneno mengine hiyo ndoa ni null and void....miezi mitano.....no way..

At least kamanda na wewe umeona huo uzito wa miezi mitano. Yaani hapa tunaongelea gap ya krismass mpaka may ya mwaka unaofatia. Huyo Kanumba na maigizo yake hawezi kuigiza hii. Aidha Aminata katuingiza chaka au tutangaze hali ya hatari kwa hii ndoa hewa.
 

LOL.... hakyanani kuna watu ukiwauzia kesi watakuua.... aminata saa hii ana kesi kali sana na lazma aombe ED kesho
 
kuta zingekuwa zinaongea waamuzi wasingepata tabu namna hii!
 
kuta zingekuwa zinaongea waamuzi wasingepata tabu namna hii!

we ndio aminata nini?? hebu tuambie, na wewe umekosa ile duduz miezi yote hiyo??? hebu kata rufaa tuwatume vijana wa emergency supplies, wapo nikoa yote, ni wewe tu kusema mkoa unaoishi
 
Sweetie..... (What are you doing? Wa nini?)
kuna nyimbo ya maneti ilikua inasema

wivu wivu ukizidi
inakua kero, mama mama maaaaa
hata nikienda kazini, unaona wivu
bebiiiii, unaona gereee, mama mama maaaaa
 
mwanamme kagundua alioa dada yake, anaogopa kumwambia.

Hizo vitu kweli husumbua, wiki inaweza kuwa miaka 100.
 

karibu sana kiongozi.....ukweli ndo huo kamanda....hapo Aminata angekuja kuclarify hapo kwen miezi au miaka au mawiki MTM senior anatakiwa sana pande hizi aisee
 
Wanaume wasio na nguvu ndio wanaoongoza kwa kujisifia game wawapo kijiweni.... This makes me Grade you in an "A List" in the game.....lol....

Naomba tu wasiohusika wasisome hapa... Nisije pata mzungu wa nne leo.... Nitakufa!.... hahahha.....

hahaha...no more comments...aiseee...

nina fomyula, nimejiunga na timu ya mazoezi ya jeshi... napitia kule nyuma wananipa saluti aisee, na panki nimenyoa mkuu

we njoo utaniamkia

..hahaha...tatizo la hilo wananchi wanakufyonya tangu unaingia gatini kusubiria pantoon, unapoingia na mpaka
unapoishia kwenye kona ya madaladala pale,..na bei ya wese ilivyopanda hata kufunga vioo na kiyoyozi najitesa bure.
Powa brio, will keepo in touch.

Hahaha Mbu yep acha tukubaliane kwa hilo. Maswali yangu ni mawili tu.
1) Mwanaume gani dunia hii anaweza kumpa mgongo mwanamke anaelala nae kitanda kimoja miezi 5?
2) Ujumbe gani unaupeleka kwa kumnyima mwanamke unyumba for that long?

...aisee lawyer achana kabisa na mavitu haya, hujawahi sikia kesi
mtu unalala nae kitanda kimoja lakini unaogopea [anavyokuchukia] asijekukufunika na mto?...
au...mnalala chumba kimoja lakini mwezi wa tano mmoja analala sakafuni?...

...kuta nne zinaficha mengi bana...mimi nadhani huyo mjomba dakitari labda
ana kaugonjwa ambako anajua akimpa haki yake mwandani anaweza kumuambukiza..
bibie asubirie tu valentine day, february 2013 haipo mbali kiviiile...
 
hahaaaaaaa kama ni mafuta yapo fully tank sina hata pa kuongezea shughuli hapa ni kutoa maamuz maana kimeongea kiumbe kimoja na presenter AMINATA kakimbia
we ndio aminata nini?? hebu tuambie, na wewe umekosa ile duduz miezi yote hiyo??? hebu kata rufaa tuwatume vijana wa emergency supplies, wapo nikoa yote, ni wewe tu kusema mkoa unaoishi
 
kuta zingekuwa zinaongea waamuzi wasingepata tabu namna hii!

...mnh! nimekusoma nukta kwa nukta...tupo mstari mmoja, yaani nimekuelewa kabisaaaaa..hehehe...
 
pal, huyu ashadii nampenda lakini anakua very explicit, hebu atueleze mwanamkw goli gapi kwa wiki (akikojoa yeye ndio zinamtosha?)

ukirudi uje chadibwa, tuna bendi siku hizi jana na juzi nilikua hape ni raha tupu

hahaha.... Dah!

Kila mwanamke na prefference yake jamani....lol.... Mweeee.... Utataka goli mbili mzee anataka tatu? Haya mambo you go with rhyme..... lol

....for real kaka, for real...ila ile foleni ya kurudia mjini via pantoon, au kuzungukia mbagala imekaaje?
nitatia team hapo kwa mkulu wa kituo,..hahah..

AshaDii,...nasubiria kusoma jibu, kamanda keshaabandika swali hapo.


Hahahaha..... sijui kama nimejibu sawa aiseee....😛eep:
 
umenena vema dada yangu ila ukweli wa nyumba ifukayo anaujua mkaaji tusisahau hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…