Mume HIV+ anahitajika

Safi sana kila MTU angekua jasiri pasingekua na tabu maana +ve angetoka na mwenzio wake na- pia angetoka na mwenzie tatizo humu kila mmoja anajiona innocent kwamba kuonekana ana+ve cjui atakuaje,big up love mungu akupe hitaji la moyo wako

Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
 
Thantee
 
Awe muislam au alie tayari kuwa muislam, umri miaka 28-32, awe tayari kwa ndoa kwa aliye serious, aliye na nia na vingine nilivyotaja aje pm, coz sitazungumza chochote zaidi kwenye thread siku njema.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
duh yataka moyo, usijali watakuja kumalizana na wewe huko huko inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…