Mume HIV+ anahitajika

chakor

Member
Joined
Jan 19, 2017
Posts
68
Reaction score
89
Natumai mna wakati mwema wapendwa!

Mimi ni binti mwenye miaka 25, ninaishi na VVU. Nimechoka na hali ya upweke nahitaji mwenza wa kuishi nae as a husband and wife kwani naamini kuwa na VVU hakuwezi kunizuia kutimiza malengo yangu.

Sifa za mume ninayemuhitaji awe ni muislamu, mwenye hofu ya Mungu na awe na shughuli yoyote ya kujipatia riziki.

Kwa aliyeguswa karibu PM
 
mim hapa ila nipo negative upo tayar kuwe tunatumia kinga kila siku tukitaka mtoto tutatoboa ndom siku ukiwa siku ya hatat tukamlie ndan
 
mim hapa ila nipo negative upo tayar kuwe tunatumia kinga kila siku tukitaka mtoto tutatoboa ndom siku ukiwa siku ya hatat tukamlie ndan
Shida ni utayari wa mtu kutoka ndani ya moyo. Kuna ndoa na couples nyingi wanaishi hivyo lakini baadi ya watu bado wana unyanyapaa kuona kwamba kuishi na mtu mwenye VVU ni kuhatarisha maisha. Si jambo baya uliloliamua but make sure uko commited na maamuzi yako, ilishanitokea hali ya kukataliwa kisa tu niko hivi wakati mwanzo nilikuwa muwazi na tulikubaliana vizuri.
 
Pole sana Mrembo.

Comment yako imebeba ujumbe mzito sana.
Nimeutafakari nikaona jinsi moyo wako ulivyo na uhitaji Wa kuwa wawili.

Zidisha maombi kwa Mungu, hujachelewa. Na naamini utafanikiwa mno.
 
Pole sana Mrembo.

Comment yako imebeba ujumbe mzito sana.
Nimeutafakari nikaona jinsi moyo wako ulivyo na uhitaji Wa kuwa wawili.

Zidisha maombi kwa Mungu, hujachelewa. Na naamini utafanikiwa mno.
Amiin mpendwa
 
njoo Pm kama tujuzane meng
 
Pole, sio tu kuguswa, lakini wapo ambao nao wanahitaji mke wa aina yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…