Mume HIV+ anahitajika

duh nashkur Kwa kufnguka ngoja waje wahusikaa
 
uliupata lini dadang?
 
Dada hongera kwa ujasiri. Mie kitengo cha huduma. Watu wa aina yako ni wengi na wanaolewa. Na kuna ndoa nyingi a watu ambao ni concordant na wengine nindiscordant couples. Mme utapata kabisa.
 
Dada meza dawa inavyotakiwa. Yaani proper adherence ubaki mwenye afya njema.....viral load ishuke.....cd4 zipande basi. Na wewe ni muelewa sana maana ukiamua kumuambukiza mtu unaweza sana tu. You need our support. Taja umri wako tu.
 
Nimeguswa, ipo tiba ya ugonjwa wako. Kama utahitaji tuwasiliane
 
Dah! Kweli safari bado ni ndefu maishani ! Wanaadamu tuzidisheni maombi kwa mola atufanyie wepesi kwenye Yale tunayohitaji !
 
Hajielewi huyo anaweza akatangulia.hivyo asikukatishe tamaa
mim hapa ila nipo negative upo tayar kuwe tunatumia kinga kila siku tukitaka mtoto tutatoboa ndom siku ukiwa siku ya hatat tukamlie ndan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…