Mume HIV+ anahitajika

mimi ni mzima wa afya, lakini nimeamua kujilipua kua nawewe, kama unaweza ni PM
 
Kila lakher
Nina miaka 27,muislam, elimu yangu ni kidato cha sita, nimeajiriwa, ninaemuhitaji kwanza awe na hali kama yangu, umri usizidi miaka 35,awe muislam anayejiheshimu na aliye serious kwa ajili ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…