Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Ulikuwa hujaamua mimi Nile leo😩😩Kukuita kijana imekuwa nongwa?Kwani wewe ni mzee?Nilikuwa nimeshakuandalia kuku wangu ila sasa hivi nawala wote,sikupi tena![emoji6][emoji6][emoji6]
Basi nafuta kauli kijana mwenzangu..
Haya kaweke kuku kule muda ukifika😋😋