Mume HIV+ uko wapi mwenza wangu?

Zagiara

Member
Joined
Sep 14, 2022
Posts
9
Reaction score
85
Jamani naelekea kukata tamaa.. Hiivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmoja mwanaume ambaye anahitaji familia???

Uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu, nikupikie chakula kizuri... Nipambe nyumba yetu nzuri kwa maua, tuwe na amani na tupendane...
 
Utapata nami ntasaidia kukutafutia
 
Hongera kwa kupima na kuijua afya yako... Mimi kupima labda nishikiwe mtutu wa bunduki afu nikokotwe na katapila la Manispaa ya Kinondoni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…