Mume HIV+ uko wapi mwenza wangu?

Mume HIV+ uko wapi mwenza wangu?

Jamani naelekea kukata tamaa..ivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmja mwanaume ambaye anahitaji familia???uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu...nikupikie chakula kizuri...nipambe nyumba yetu nzuri kwa mauwa...tuwe na aman na tupendane...
Mungu na akutimizie hitaji lako
 
Mimi ni Padri nawashauri wanaume wenzangu wa JF hata ambao hawana HIV waje mjenge maisha maana kama unatumia dozi vizuri ni ngumu kuambukiza mwingine, wazee jitokezeni

d9cae3e9e442da2e94c5f7bf85641f15.jpg
 
Jamani naelekea kukata tamaa..ivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmja mwanaume ambaye anahitaji familia???uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu...nikupikie chakula kizuri...nipambe nyumba yetu nzuri kwa mauwa...tuwe na aman na tupendane...

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
mzabzab mke huyo ili uache kuusambaza kama unavyosema humu. Utulie mjenge maisha kwani hakuna wala hakujawahi kuwa na mshindi wa Ngono duniani. Jiko hilo safi na zuri limejileta kwako.
 
Hongera kwa kupima na kuijua afya yako... Mimi kupima labda nishikiwe mtutu wa bunduki afu nikokotwe na katapila la Manispaa la Kinondoni...
🤣🤣🤣Sasa ukijikuta positive ndio tuchimbe kabisa kaburi au sio.?
 
Jamani naelekea kukata tamaa.. Hiivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmoja mwanaume ambaye anahitaji familia???

Uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu, nikupikie chakula kizuri... Nipambe nyumba yetu nzuri kwa maua, tuwe na amani na tupendane...
Kwa hiyo Negative huwataki?
 
Jamani naelekea kukata tamaa.. Hiivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmoja mwanaume ambaye anahitaji familia???

Uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu, nikupikie chakula kizuri... Nipambe nyumba yetu nzuri kwa maua, tuwe na amani na tupendane...

Kwa sasa kutafuta mwenzi kwa kuangalia HIV status imepitwa na wakati. Kuna 'serodisordant' wengi tu wanaishi pamoja na maisha yanaendelea. Tafuta mtu mnaependana, changamoto ya status inatatulika
 
Kwa sasa kutafuta mwenzi kwa kuangalia HIV status imepitwa na wakati. Kuna 'serodisordant' wengi tu wanaishi pamoja na maisha yanaendelea. Tafuta mtu mnaependana, changamoto ya status inatatulika
Hii bado sana Tanzania... Tanzania kuwa positive ni death sentence...
 
Dah ni kitambo sana umekuwa ukimtafuta mwenza wa status yako ni zamani kidogo .

Leo nalitumia jukwaa hili kukuomba msamaha maana mwanzo nilijua hauko serious nilikuja mpaka kwako hapo nilikuwa na rafiki yangu ulinikubali ila issue ya kupima nikala mitaa baada ya kugundua uko serious na usemacho .

After hapo nilikutafuta tena siku nyingine ukaniruka futi mia basi nikupe faraja na kukuita shujaa ila leo niko upande mwingine wa kuweza kukusaidia niko sehemu ambayo uwezo wa kukutanisha na mtu wa status yako ninao .

Sahau yaliyopita mpenzi naomba nicheki kwa namba zangu zile niko radhi kukusaidia , pole kwa utoto wangu those days ujana ulisumbua na pia nilidhani unadanganya hivyo nilikuitaji kweli ila nilivyojua ni hivyo ndiyo ukawa mwanzo wa kula kona

Nakupenda bure dada , karibu .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Samahani hainihusu,ila una miaka mingapi? Nisamehe sana ila naomba unijibu
 
Back
Top Bottom