Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu na akutimizie hitaji lakoJamani naelekea kukata tamaa..ivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmja mwanaume ambaye anahitaji familia???uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu...nikupikie chakula kizuri...nipambe nyumba yetu nzuri kwa mauwa...tuwe na aman na tupendane...
Itategemea na utumiaji huo wa dozi labda na yeye akiwa anamsaidia kuzibugia,Akiwa anakula dozi kikamilifu hawez kumuambukiza
Jamani naelekea kukata tamaa..ivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmja mwanaume ambaye anahitaji familia???uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu...nikupikie chakula kizuri...nipambe nyumba yetu nzuri kwa mauwa...tuwe na aman na tupendane...
[emoji38][emoji38]Haya sawa vizuri we endelea kumpelekea moto
Hongera..uko mbele ya muda... Majority ya Watanzania bado Kuna Uoga sanaMimi nina mpenzi HIV positive, wakati Mimi ni negative na naona nashindwa kumuacha. Nampenda sana.
🤣🤣🤣Sasa ukijikuta positive ndio tuchimbe kabisa kaburi au sio.?Hongera kwa kupima na kuijua afya yako... Mimi kupima labda nishikiwe mtutu wa bunduki afu nikokotwe na katapila la Manispaa la Kinondoni...
Kwa hiyo Negative huwataki?Jamani naelekea kukata tamaa.. Hiivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmoja mwanaume ambaye anahitaji familia???
Uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu, nikupikie chakula kizuri... Nipambe nyumba yetu nzuri kwa maua, tuwe na amani na tupendane...
Jamani naelekea kukata tamaa.. Hiivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmoja mwanaume ambaye anahitaji familia???
Uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu, nikupikie chakula kizuri... Nipambe nyumba yetu nzuri kwa maua, tuwe na amani na tupendane...
Hii bado sana Tanzania... Tanzania kuwa positive ni death sentence...Kwa sasa kutafuta mwenzi kwa kuangalia HIV status imepitwa na wakati. Kuna 'serodisordant' wengi tu wanaishi pamoja na maisha yanaendelea. Tafuta mtu mnaependana, changamoto ya status inatatulika
Atuambie umri, kimo, elimu na idadi na idadi ya watoto alionao.Mimi ni Padri nawashauri wanaume wenzangu wa JF hata ambao hawana HIV waje mjenge maisha maana kama unatumia dozi vizuri ni ngumu kuambukiza mwingine, wazee jitokezeni
View attachment 2885924
Sijamuona siku nyingi jukwaani huyu jamaa.mzabzab mke huyo ili uache kuusambaza kama unavyosema humu. Utulie mjenge maisha kwani hakuna wala hakujawahi kuwa na mshindi wa Ngono duniani. Jiko hilo safi na zuri limejileta kwako.
Samahani hainihusu,ila una miaka mingapi? Nisamehe sana ila naomba unijibuDah ni kitambo sana umekuwa ukimtafuta mwenza wa status yako ni zamani kidogo .
Leo nalitumia jukwaa hili kukuomba msamaha maana mwanzo nilijua hauko serious nilikuja mpaka kwako hapo nilikuwa na rafiki yangu ulinikubali ila issue ya kupima nikala mitaa baada ya kugundua uko serious na usemacho .
After hapo nilikutafuta tena siku nyingine ukaniruka futi mia basi nikupe faraja na kukuita shujaa ila leo niko upande mwingine wa kuweza kukusaidia niko sehemu ambayo uwezo wa kukutanisha na mtu wa status yako ninao .
Sahau yaliyopita mpenzi naomba nicheki kwa namba zangu zile niko radhi kukusaidia , pole kwa utoto wangu those days ujana ulisumbua na pia nilidhani unadanganya hivyo nilikuitaji kweli ila nilivyojua ni hivyo ndiyo ukawa mwanzo wa kula kona
Nakupenda bure dada , karibu .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Dada mtu nikuulize swali?Samahani hainihusu,ila una miaka mingapi? Nisamehe sana ila naomba unijibu
Karibu.Dada mtu nikuulize swali?
Dada mtu mimi kaka mtuSamahani hainihusu,ila una miaka mingapi? Nisamehe sana ila naomba unijibu
🫡Mimi ni Padri nawashauri wanaume wenzangu wa JF hata ambao hawana HIV waje mjenge maisha maana kama unatumia dozi vizuri ni ngumu kuambukiza mwingine, wazee jitokezeni
View attachment 2885924