Mume kabamba WhatsApp message zangu kwenye simu ya mkewe

Mume kabamba WhatsApp message zangu kwenye simu ya mkewe

1. Wakuu kuna Mother flan Mwalimu wa sekondari ya kata mitaa ya Kibamba huwa nakamua toka Oktoba 2022 sasa ijumaa nilienda kupiga kuanzia saa 8 mpaka sasa 12 nikamrudisha hadi mitaa ya kwao. Kumbe jamaa alikua sehemu kaona mkewe anashushwa kwenye Subaru mke kadanganya ilikua Uber lakin wapi.

2. Anayedaiwa kuwa Ni Mume akamnyang'anya simu akaanza kupekua WhatsApp chat akakutana na conversation yetu ya siku Ile Ile tukiwa tunaelekezana pa kukutana sasa jamaa kaniforwardia conversation kwenye WhatsApp yangu na simu kama zote. Sijapokea wala Sijajibu.

3. Nawaza, niwahi kwenye Ile guest wafute zile image (wakati tunaingia na kutoka) kwenye CCTV zao wasije wakapewa hela na huyu boya ukapatikana ushahidi.

#Huyu mwanamke simtaki tena. Hajawahi kuniambia kama kaolewa.
subiri tu matokeo
 
Hamna kesi hapo. Hata angekushika UGONI live si jinai. Akipiga simu pokea halafu hakikisha unamrekodi kisha kafungue kesi ya KUTISHIA KUUA KWA MANENO (JINAI) halafu mkutane mahakamani nakuhakikishia hiyo kesi inampeleka jela huku unaendelea kupiga bibie tena kitandani kwake.

Binafsi, niliwahi kufumaniwa CITY STYLE HOTEL, Sinza Mugabe (kwa ushahidi nenda kawaulize wahudumu wa mapokezi) na anayedaiwa ni mume wa mwanamke niliyekua nae faragha. Jamaa wamevamia na makamera room, tukiwa uchi. Wakachukua video na makelele kibao walipotoka parking wakavunja kioo cha gari langu na kutoa upepo tairi, baada ya hapo wakanitishia kurusha picha za utupu mitandaoni. Baadae jamaa akarusha video aliyoturekodi kupitia whatsapp yangu.

Sasa, akajiloga, akapiga simu (voice call) vitisho vya kuniua mimi hapo NAREKODI vyote. Haikuchukua muda jamaa anapelekewa wito mahakamani kesi inaunguruma mwaka wa pili huu na jamaa bado anasota. Anaomba msamaha kama mtoto Mdogo.
Lkn kwanini ulazimike kufanya hayo yote?!, Na pengine kwa gharama, Kwanini usioe ukabaki na mke wako mmoja??
 
Back
Top Bottom