Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
mmmh milion 200 parefuu. halafu hivi utajir wa masupa staa wetu ni kumiliki magari tu?
Kajala mtoe mmeo you know karma is a bitch wapi Jack cliff alivyomfanyia mmewe fundikira?
Na kweli...
Ila shida sasa hizo mil 200 atazifikisha???
Dah umenikumbusha huyo binti jamani.....namhurumia!
Hawezi kumtoa ata kwa dawa kwa hiyo pesa, we mtu toka k atoke jela hata ku post picha au kuonyesha kumkumbuka mume wake, yeye kutwa picha za mwanae na marafiki zake, mara kapanda ndege business class, mara kapiga picha yupo china, yan mpaka mda mwingine nasahau kama aliolewa,yani hii mijanamke ya bongo movie malaya kabisa mbwa hawa