Mume: Kajala nitoe jela

Mume: Kajala nitoe jela

Wapendwa sidhani kama Kajala atafurahia kumtoa Mumewe. Ila jamaa avumilie angalau miaka 2 atoke kwanza kashazoea saa hizi. Kajala atakimbia nchi nyie subirini tu. S.henzi sana huyo B.i.t.c.h!
 
Hawezi kumtoa ata kwa dawa kwa hiyo pesa, we mtu toka k atoke jela hata ku post picha au kuonyesha kumkumbuka mume wake, yeye kutwa picha za mwanae na marafiki zake, mara kapanda ndege business class, mara kapiga picha yupo china, yan mpaka mda mwingine nasahau kama aliolewa,yani hii mijanamke ya bongo movie malaya kabisa mbwa hawa

Binam punguza hasira,
Pengine labda anamjali ila kwa siri!!
 
Hakuna Lisilo wezekana chini ya jua,kama keli anampenda mumewe angeomba angejitahidi na mwenyewezi mungu angemsaidia,lakini nia yenyewe hana Hakumuona Wema alomtoa jela wa mana atamuona mume? asubiri Radhi ya mume na yeye..............sifa tuu isokua na maana...
 
Back
Top Bottom