Mume kamganda mchepuko miaka takriban 5

Huyo rafiki yako ajievakuate wapi anakosea na kusababisha mume atoke nje!
Au ndio kama wanavosema ni nature yao ???[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Aache ujinga, mganga wa nini? Tafuta kipoozeo kinakwangua hamu zote, ukirudi nyumbani busy na mapambio tu na wanao. Kuwa busy na kazi, tafuta hela kwa bidii zote, lea watoto wako.
 
Hakika.
 
KUROGA it's big NO akitaka kuharibu afanye hivyo.
Ajipende, Afanye ibada na Atafute Hela.
That's it
 
Mume amejihalalilshia kuchepuka ye amekaa hapo anasubir nini. Kama qnahudumiwq vzuri atafute ka kiben ten ka handsome boy kamliwaze hata kua na muda wa kumfikiria huyo mume wake.

Kila mtu ana moyo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…